Mliokuwepo kwenye msafara wa Land Rover, 109 ilikuwepo?

Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
Naona hazikuwepo mkuu!
 
Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
Yaani kuwa na msafara wa land-rovers zaid ya 1000 halafu mnyama mandolin 109 akosekane !? Basi huo haukuwa masafara la land rover labda ni vitu vingine😀
 
Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
Zilikuwepo za kutosha,,, hadi series I zilikuwepo
 
20241012_125128.jpg
 
109 Zilikuwepo nyingi sana karibu series zote,
Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe nami nije
 
109 kaka naijua vizuri na kwenye show zilikuwepo kibao tuu na hata hizo series 1 zilikuwepo pia
109 ni gari yangu ya kwanza kuendesha, na kujifjnzia ufundi pia,. Hazikuwaga na breki za uhakika kama unakumbuka. hadi leo siamini breki kwenye gari yoyote hata iwe mpya vip.
 
109 zilikuwa mamia mkuu
 
Attachments

  • IMG-20241013-WA0026.jpg
    IMG-20241013-WA0026.jpg
    112.1 KB · Views: 10
  • IMG-20241013-WA0025.jpg
    IMG-20241013-WA0025.jpg
    67 KB · Views: 9
  • IMG-20241013-WA0028.jpg
    IMG-20241013-WA0028.jpg
    90.4 KB · Views: 8
  • IMG-20241013-WA0029.jpg
    IMG-20241013-WA0029.jpg
    117 KB · Views: 8
109 ni gari yangu ya kwanza kuendesha, na kujifjnzia ufundi pia,. Hazikuwaga na breki za uhakika kama unakumbuka. hadi leo siamini breki kwenye gari yoyote hata iwe mpya vip.
Ni kweli breki za mandolin ni za mgogoro hadi upampu mara kadhaa,,, steering yake ina play kubwa si mchezo
 
Back
Top Bottom