MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Chama hana nidhamu hadi National team
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mchezaji wa kwanza kusamehewa......Hata Mkude aliwahi kusamehewa... 😀 😀Chama ni mkubwa kuliko Simba sc
Mnaopiga makelele aondoke mnajisumbua tu.
"Simba sc haijamsamehe Chama Bali Chama kaisamehe Simba sc"View attachment 2891541
Hv alikosa mechi zipi zaidi ya zile akiwa afcon? Adhabu inafaa kuonekana umeitumikia.Sioni hoja ya maana hapo. Chama alikosa,akaadhibiwa kwa kusimamishwa,ameomba msamaha kwa uongozi na uongozi huo uliomsimamisha umetoa msamaha,kosa liko wapi hapo au ulitaka auwawe kabisa? Ushabiki usikufanye punguani. Na mkataba wake unatamatika soon,hataongezewa mkataba hivyo mnamchukua kiubwete kabisa.
Mapinduzi na mechi ya KMC walitoa drawHv alikosa mechi zipi zaidi ya zile akiwa afcon? Adhabu inafaa kuonekana umeitumikia.