Mliomdhihaki Chama na kuimba nyimbo za kusema kuwa "Chama aondoke" haya Simba sc wameonesha udogo wao kwa Chama kwa kumsamehe utovu wake wa Nidhamu

Mliomdhihaki Chama na kuimba nyimbo za kusema kuwa "Chama aondoke" haya Simba sc wameonesha udogo wao kwa Chama kwa kumsamehe utovu wake wa Nidhamu

Simba inatakiwa kuingia kwenye mfumo wa chama na sio chama anaingia kwenye mfumo wa Simba[emoji1787][emoji1787]
 
Sioni hoja ya maana hapo. Chama alikosa,akaadhibiwa kwa kusimamishwa,ameomba msamaha kwa uongozi na uongozi huo uliomsimamisha umetoa msamaha,kosa liko wapi hapo au ulitaka auwawe kabisa? Ushabiki usikufanye punguani. Na mkataba wake unatamatika soon,hataongezewa mkataba hivyo mnamchukua kiubwete kabisa.
Hv alikosa mechi zipi zaidi ya zile akiwa afcon? Adhabu inafaa kuonekana umeitumikia.
 
Wapelekee moto Chama
 

Attachments

  • Screenshot_20240202_124522_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20240202_124522_WhatsAppBusiness.jpg
    42.5 KB · Views: 2
Tz tuache ushabiki maandazi ndo maana hata STARZ hatufanyi vizuri...

Kuna ujinga ktk vichwa ktk population yetu..

tuwaachie management na mchazaji husika..
Wao ndiyo wanaojua wanachopisha , hii ni kazi kama kazi nyingine..
Mbona ISSUE ya FAISAL ulikuwa ni kubwa zaidi hadi RAIS alipoinglia... TENA Faisal alisema kabisa haitaki CLUB lakini bado tilibana ili tu asiende kwa jirani...
Ushamba hadi kuvizia usiku wa manane ili mchazaji atemwe kusajili....hadi management zinakuwa driven na mitandao, wachambuzi ...
Morrison alitugundua huu ujinga akapiga hela....
Badala ya weledi, tunataka yale ya kuwafurahisha watu kwa akina Ahmed Ally na Ally kamwe kuitisha PRESS CONFERENCE ...

Ifike mahali mahali tuvuke huu ushamba...

.
 
Back
Top Bottom