babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Tumechezewa mchezo wa chekundu
Tumeliwa tucheze tena
Tumeliwa tucheze tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama huyo Mama kasema hivyo, bado haiondoi ukweli! Mwigulu kwenye hiyo Wizara anapwaya!!! Na ukweli ni kitendo cha kuundwa kwa hiyo kamati ya kutathmini hizo TOZO!Namnukuu Rais Samia:
"Tozo za miamala tuliweka kwa nia njema, zitaendelea ila tutarekebisha baada ya kilio chenu"
NOTE: Kuna watu walikuwa wanamtukana Mwigulu kuhusu hizi tozo na kusema kuna kundi limemzunguka mama ili kumharibia. Na kama kawaida wajinga walikuwa wanapeleka hizo lawama kwa kile wanachoita sukuma gang.
Unakuta mtu anasema, Samia fukuza watu wa Magufuli, maana ndio wanaokuharibia, na hapa alikuwa analengwa Mwigulu na PM Majaliwasasa unajiuliza yeye Samia si katoka huko huko kwa Magufuli?
Sasa ka-clear kwamba hizo tozo waliweka na yeye akiwemo, haya bado mnaamini kuna kitu kinaitwa sukuma gang ina mharibia mama?
Yote kwa yote, mama anaupiga mwingi!
Pamoja na yote Mwigulu sijawahi kumkubali hata siku mojaNamnukuu Rais Samia:
"Tozo za miamala tuliweka kwa nia njema, zitaendelea ila tutarekebisha baada ya kilio chenu"
NOTE: Kuna watu walikuwa wanamtukana Mwigulu kuhusu hizi tozo na kusema kuna kundi limemzunguka mama ili kumharibia. Na kama kawaida wajinga walikuwa wanapeleka hizo lawama kwa kile wanachoita sukuma gang.
Unakuta mtu anasema, Samia fukuza watu wa Magufuli, maana ndio wanaokuharibia, na hapa alikuwa analengwa Mwigulu na PM Majaliwasasa unajiuliza yeye Samia si katoka huko huko kwa Magufuli?
Sasa ka-clear kwamba hizo tozo waliweka na yeye akiwemo, haya bado mnaamini kuna kitu kinaitwa sukuma gang ina mharibia mama?
Yote kwa yote, mama anaupiga mwingi!
Hehehehheashaanza kejeli
Acha mawazo ya kishetani hayo, kifo ni mpango wa Mungu na Mungu hapangiwi.inakera sana tena sana sema tu ndo hivo hatuna la kumfanya ila tumwachie Mungu afanye kazi yake kama awamu iliyopita.
Avata hii nilichukua tukiwa kwenye mkutano mkuu wa chadema wa kumakaribisha kamanda Lowasa.Avata yako tosha tu inaonyesha wewe ni sukuma gang na kada mzuri wa ccm
Sijawahi kusema huo ujingaSasa mbona mlikuwa mnademka kwamba hatakiwi kutupiwa lawama ila kuna kundi la Magufuli lina mharibia?
Hapo ndipo nilipochoka. Yaani wananchi kupinga unyonyaji yeye anaita kelele!!?Mama amesema anasikia mnapiga kelele [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani Katiba ndiyo hupiga kura! Elimu, elimu, elimuKaribu serikali nyingi za kiafrika ni za kishetatani na si za kutoka kwa Mungu. Dawa ni katiba tu vinginevyo hatuwezi kuchomeka na hizi serikali dhalimu.
Hivi hivi aliombwa na akatenda hakika Mungu wetu ni msikivu.Acha mawazo ya kishetani hayo, kifo ni mpango wa Mungu na Mungu hapangiwi.
Tozo hizi kwa sasa tayari ziko kisheria, zinasimamiwa na sheria ambayo imepitishwa na Bunge, na hivyo hayupo tena aliye na mamlaka ya kuzifuta, hata Rais mwenyewe hawezi.Namnukuu Rais Samia:
"Tozo za miamala tuliweka kwa nia njema, zitaendelea ila tutarekebisha baada ya kilio chenu"
NOTE: Kuna watu walikuwa wanamtukana Mwigulu kuhusu hizi tozo na kusema kuna kundi limemzunguka mama ili kumharibia. Na kama kawaida wajinga walikuwa wanapeleka hizo lawama kwa kile wanachoita sukuma gang.
Unakuta mtu anasema, Samia fukuza watu wa Magufuli, maana ndio wanaokuharibia, na hapa alikuwa analengwa Mwigulu na PM Majaliwasasa unajiuliza yeye Samia si katoka huko huko kwa Magufuli?
Sasa ka-clear kwamba hizo tozo waliweka na yeye akiwemo, haya bado mnaamini kuna kitu kinaitwa sukuma gang ina mharibia mama?
Yote kwa yote, mama anaupiga mwingi!
Namnukuu Rais Samia: