Mliomtukana Mwigulu kuhusu tozo mna lipi la kusema?

Hata kama huyo Mama kasema hivyo, bado haiondoi ukweli! Mwigulu kwenye hiyo Wizara anapwaya!!! Na ukweli ni kitendo cha kuundwa kwa hiyo kamati ya kutathmini hizo TOZO!

Alitakiwa kwanza yeye Mwigulu ndiyo aunde kamati ya wataalam kutathmini namna bora ya hizo TOZO kabla ya kukurupuka na kupeleka moja kwa moja Bungeni kwa kucopy tu na kupaste kutoka kwa Zungu.
 
Hivi kwamba hawakuona Kama zitaumiza wananchi?

Katika hili wakubali walifanya ujinga.
Na wameamua watengeneze tatizo halafu walitatue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo wajinga wengi,kazi kushupaza shingo,utawaskia mama mwgulu hafai,sasa unjiuliza alyemteua mwgulu nan?ccm ile ile na yote ynayofanyika yana idhini ya mh.Rais..tutake tustake
 
Pamoja na yote Mwigulu sijawahi kumkubali hata siku moja
 
inakera sana tena sana sema tu ndo hivo hatuna la kumfanya ila tumwachie Mungu afanye kazi yake kama awamu iliyopita.
Acha mawazo ya kishetani hayo, kifo ni mpango wa Mungu na Mungu hapangiwi.
 
Huyu maza budget inapitia kwenye baraza la mawaziri hivyo uchafu wote anaujua vizuri sana
Sasa mbona mlikuwa mnademka kwamba hatakiwi kutupiwa lawama ila kuna kundi la Magufuli lina mharibia?
 
inakera sana tena sana sema tu ndo hivo hatuna la kumfanya ila tumwachie Mungu afanye kazi yake kama awamu iliyopita.
Mmeacha kumdemkia kwamba anaupiga mwingi?
 
Avata yako tosha tu inaonyesha wewe ni sukuma gang na kada mzuri wa ccm
Avata hii nilichukua tukiwa kwenye mkutano mkuu wa chadema wa kumakaribisha kamanda Lowasa.

Kumbuka wakati huo Gwajima alikuwa mshenga wetu wa kumleta EL chadema
 
Karibu serikali nyingi za kiafrika ni za kishetatani na si za kutoka kwa Mungu. Dawa ni katiba tu vinginevyo hatuwezi kuchomeka na hizi serikali dhalimu.
Kwani Katiba ndiyo hupiga kura! Elimu, elimu, elimu
 
Tozo hizi kwa sasa tayari ziko kisheria, zinasimamiwa na sheria ambayo imepitishwa na Bunge, na hivyo hayupo tena aliye na mamlaka ya kuzifuta, hata Rais mwenyewe hawezi.
Kitakachofanyika hapa ni kurekebisha kanuni ambazo Waziri mwenye dhamana anayo mamlaka ya kufanya hivyo; kwamba kwa mfano badala ya kutoza sh 1,000/= kwa kila sh 100,000/= mtu anayotuma au kupokea kwa njia ya mtandao wa simu, Waziri anaweza kurekebisha kanuni hiyo na kusema sasa sh 100,000/= itatozwa sh 100/= badala ya 1,000/=.
Kwa sasa hivi hii ni sheria tayari ipo imeshapitishwa na Bunge na hivyo hayupo mtu yeyote anayeweza kuifuta, hata wewe na hicho cheo chako kikukbwa sana lulichonacho bado huwezi kuifuta. Kwa hiyo watarekebisha kanuni (fomula) na mambo yote yatakwenda sawa; sheria haiwezi kufutika mpaka Bunge lenyewe likae tena na kuifuta, ndiyo chombo pekee chenye mamlka ya kufanya hivyo
 
Bado mnaendelea kupiga kelele? Hebu kuweni na adabu!
 

Tupo kwenye CHANJO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…