Tena Wangenishukuru badala ya Kunialaumu kwani nina uhakika kuwa ' Bandiko ' langu hili liliwaamsha na nashukuru wameweza kufanyia Kazi changamoto nyingi ambazo nilizisema hapo awali na hii ndiyo faida kubwa ya kuwa na Wachambuzi wenye ' Kunyoosha ' maelezo kwa faida hata na Wao pia ni Mashabiki wa hiyo hiyo Team. Binafsi najiona Mshindi na nimefanikiwa.