Mlionidhihaki na Kudai Mimi ni Yanga SC pale nilipotoa Angalizo la Kiufundi kuihusu Simba SC naomba na leo endeleeni Kunidhihaki tena!

Mlionidhihaki na Kudai Mimi ni Yanga SC pale nilipotoa Angalizo la Kiufundi kuihusu Simba SC naomba na leo endeleeni Kunidhihaki tena!

Mimi naamini chambuzi kama hizi ndio zilizowafanya Simba wasilale na kutafuta suruhisho la changamoto zilizo mbele yao.

Tena Wangenishukuru badala ya Kunialaumu kwani nina uhakika kuwa ' Bandiko ' langu hili liliwaamsha na nashukuru wameweza kufanyia Kazi changamoto nyingi ambazo nilizisema hapo awali na hii ndiyo faida kubwa ya kuwa na Wachambuzi wenye ' Kunyoosha ' maelezo kwa faida hata na Wao pia ni Mashabiki wa hiyo hiyo Team. Binafsi najiona Mshindi na nimefanikiwa.
 
Back
Top Bottom