Mlionidhihaki na Kutoniamini niliposema akina Kapombe na Hussein watarudishwa Taifa Stars Timu ikirejea kutoka Misri mpo wapi?

Mlionidhihaki na Kutoniamini niliposema akina Kapombe na Hussein watarudishwa Taifa Stars Timu ikirejea kutoka Misri mpo wapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE niliandika Uzi wa kuhusu urejeo Wao Kikosini na nikasema kuwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars ikirejea tu kutoka nchini Misri watajumuishwa na hatimaye kweli imekuwa kama nilivyosema na wako Kikosini ( Kambini ) sasa.

Jamani sikutwaa Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 bure bali nilistahili na nitashinda mno hadi Wanaonichukia wakiongozwa na niliyemshinda na ambaye kamwe hatonishinda Greatest Of All Time Wapasuke Misamba yao.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Wamerudishwa ila hawata cheza. Mchezaji ukishakua Mwanga unatishia usalama wa wengine.
 
Hakuna sababu ya kapombe na shabalala kukaa nje,kocha alijua sio watanzania
 
Mbona hujasema wakuite nani kama wakicheza??
Kitaalamu Hakuna namna watacheza, labda waingie mwishoni wakati timu imesha pata matokeo. Sioni Kwa namna yoyote wakianza katika mechi na Uganda.
Mpira ni Sayansi na si ushabiki.
 
Talented sijui nini nini fella... Hongera
Leo mbona wale Mazuzu walionidhihaki na Kutoniamini niliposema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Wachezaji tajwa hapa watarejeshwa / watarudishwa Kikosini Taifa Stars Wakirejea kutoka nchini Misri?*
 
Kitaalamu Hakuna namna watacheza, labda waingie mwishoni wakati timu imesha pata matokeo. Sioni Kwa namna yoyote wakianza katika mechi na Uganda.
Mpira ni Sayansi na si ushabiki.
Ntajie basi full backs za kuwaweka nje hao mabeki?
 
Back
Top Bottom