GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbona hujasema wakuite nani kama wakicheza??Wamerudishwa ila hawata cheza. Mchezaji ukishakua Mwanga unatishia usalama wa wengine.
Kitaalamu Hakuna namna watacheza, labda waingie mwishoni wakati timu imesha pata matokeo. Sioni Kwa namna yoyote wakianza katika mechi na Uganda.Mbona hujasema wakuite nani kama wakicheza??
Leo mbona wale Mazuzu walionidhihaki na Kutoniamini niliposema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Wachezaji tajwa hapa watarejeshwa / watarudishwa Kikosini Taifa Stars Wakirejea kutoka nchini Misri?*Talented sijui nini nini fella... Hongera
Imethibitishwa wapi kuwa ni wanga??Wamerudishwa ila hawata cheza. Mchezaji ukishakua Mwanga unatishia usalama wa wengine.
Ntajie basi full backs za kuwaweka nje hao mabeki?Kitaalamu Hakuna namna watacheza, labda waingie mwishoni wakati timu imesha pata matokeo. Sioni Kwa namna yoyote wakianza katika mechi na Uganda.
Mpira ni Sayansi na si ushabiki.