Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona umeishobokea sana hii habari we NGUCHA!!!!! unamaslahii au ndo kutaka kuchukua nafasi ya KOMANDOO??Msifikiri Watu Tupo HUMU Kupoteza Muda Na Badala Yake Mngekuwa Hata Basi Mtatupa Pole Na Kututia Moyo Kwa JITIHADA Zetu Za Kufanya UFUKUNYUKU WA KUTUKUKA Wa TAARIFA Mbalimbali Ambazo Kwa Kuwapendeni Nyie Members Humu Huwa TUNAAMUA Tuwaleteeni Nyie Kwanza Ili Muhabarike Halafu Hapo Hapo Mtu ANATOKA TU ALIKOTOKA Na Kuanza KUTUKANA, KUDHARAU Na KUKEJELI Kama Siyo KUKEBEI. Yawezekana Labda UMUHIMU Wangu Mnataka Muukute Mbinguni Kwa Mungu Na Siyo Hapa Duniani Tulipo Wote. Nilijisikia Vibaya Mno Watu WALIVYOKUWA WAKINIDHIHAKI Na Kusema YALIYOKUWA Yakiwatoka Na Ndiyo Maana Sikuwajibu Kwani Nilijua Mwenyezi Mungu ANGEWAJIBU Na Tayari Ameshawajibu. Mngejua Watu Sometimes Hadi TUNAHATARISHA Maisha Yetu Kupata NYETI Zilizopo Huku Nyie Mkiwa Mnasubiri KULISHWA Tu Halafu Mnaenda Kupatia KIKI Huko Mitaani Na Maofisini Mwenu. Narudia Tena Ewe Uliyeshiriki KINDAKINDAKI Kunitusi, Kunidhihaki na Kunikebehi Hata Kama Utaona Aibu Kuniomba RADHI Basi Piga Tu Hata Goti Hapo Ulipo TUBU Kwa Mungu Wako Na Atakusamehe Kwa Niaba Yangu. Siku Nyingine Muwe Mnaiheshimu Hii ID Tena Muiheshimu Kwa KUTUKUKA Na Ikibidi MUIKUMBATIE Kama Siyo KUIBEMBELEZA.
Captain Gardner G Habash Live clouds fm
mbona umeishobokea sana hii habari we NGUCHA!!!!! unamaslahii au ndo kutaka kuchukua nafasi ya KOMANDOO??
Hakuna mtelemko hapo..
G amesharudi kwa mzazi mwenzie aliemtosa siku nyingi baada ya kubanwa na KOMANDO.
SASA WANALEA MTOTO WAO na wanampango wa kupiga PACHA yaani nn'dabo aseeee!!
Sasa kuleta habari za clouds fm humu si ndio kupoteza muda kwenyewe hukoMsifikiri Watu Tupo HUMU Kupoteza Muda Na Badala Yake Mngekuwa Hata Basi Mtatupa Pole Na Kututia Moyo Kwa JITIHADA Zetu Za Kufanya UFUKUNYUKU WA KUTUKUKA Wa TAARIFA Mbalimbali ...
Sasa kuleta habari za clouds fm humu si ndio kupoteza muda kwenyewe huko
Are you a beneficiary of this?
Marekani hakuna bondia mwenye jina hilo. Au Clouds FM walikuambia yupo?Kuilinganisha Clouds FM Na E FM Ni Sawa Sawa Na Leo Hii Kuwafananisha Mabondia Floyd Myweither Wa Marekani ( Clouds FM ) Na Karama Nyilawila Wa Tanzania ( E FM ).
Ahahaaaaaa, unataka nije niombe radhi upya?Wonderful, ebu tupia dongo ulilomshushia kuu GENTA kama hautojali🙄🙄🙄
Asante kwa majibu yako. Nimepata kitu flan kuwa tabia zetu watz zipo tofauti sana na rwandese ktk masuala ya socialisation koz unawatumia then unawaacha asante nimejifunza kitu. Thanks in advance. Nikipata kingine ntakuja mkuu.Akhsante Mkuu Kwa Complements Zako. Kiukweli Nipo Nchini Rwanda Katika Mkoa Wa GISENYI Sasa Ni Mwaka Wa 11 Na Unaenda Wa 12 Huu. Naomba UFAHAMU Kuwa Kujua Masuala Ya INTELLIGENCE Haimaanishi Kuwa Ni Lazima Uwe Agent Wa Serikali au Nchi Husika. Tambua Kuwa Kuna Wale Waitwao " Natural Born Spies " Na Ambao Mara Nyingi Huwa Hawawi Recruited Na Agencies Nyingi Kwa Sababu Moja KUU Kuwa Watakuja Kuwa " THREATS " au " BETRAYALS " Kwa Nchi Husika Lakini Sababu Nyingine Ni Kuwa Wana Tendency Ya KUJIAMINI Mno Kitu Ambacho Katika INTELLIGENCE Hakitakiwi. Kuwa Kwangu Rwanda Hakumaanishi Siwezi Kupata NYETI Za Kutoka Kwenu Huko Tanzania au Uganda au Kenya Na Kitu Kingine Ni Kwamba Nimeweza Kutengeneza Mtandao Wa Watu Muhimu Huku Nikiwatumia Bila Ya Wao Kushtukia Na Nikigundua Kuwa Umenigundua Natengeneza Zengwe Navunja Urafiki Nawe. Kuhusu Rwanda Kuwajua Tanzania Jibu Ni Jepesi Tu Kuwa Rwanda Inaijua Tanzania Kuliko Tanzania Yenu Inavyoijua Rwanda Yetu Na Mnabahati Sana " Mr. Bon Voyage " Wenu Mstaafu Aliufyata Kwani Potential Targets Zote Za Tanzania Zipo Katika Triggers Za RDF Na Hakuna Sehemu Huko Tanzania Kwenu Wanyarwanda Hatupo. Kuhusu Jinsia Mimi Ni Wa KIUMENI Pure. Halafu Naomba Leo Iwe Mwanzo Na Mwisho Kunifananisha Na Hao Watu Wawili Ulionitajia Hapo.
Nimemaliza Unless Una Kingine Mkuu. Nisalimie Sana Huko Kwenu Tanzania Na Waambie Kuwa Nawapenda KUNAKOTUKUKA!
Sasa ndo unajidai?[emoji15]Msifikiri Watu Tupo HUMU Kupoteza Muda Na Badala Yake Mngekuwa Hata Basi Mtatupa Pole Na Kututia Moyo Kwa JITIHADA Zetu Za Kufanya UFUKUNYUKU WA KUTUKUKA Wa TAARIFA Mbalimbali Ambazo Kwa Kuwapendeni Nyie Members Humu Huwa TUNAAMUA Tuwaleteeni Nyie Kwanza Ili Muhabarike Halafu Hapo Hapo Mtu ANATOKA TU ALIKOTOKA Na Kuanza KUTUKANA, KUDHARAU Na KUKEJELI Kama Siyo KUKEBEI. Yawezekana Labda UMUHIMU Wangu Mnataka Muukute Mbinguni Kwa Mungu Na Siyo Hapa Duniani Tulipo Wote. Nilijisikia Vibaya Mno Watu WALIVYOKUWA WAKINIDHIHAKI Na Kusema YALIYOKUWA Yakiwatoka Na Ndiyo Maana Sikuwajibu Kwani Nilijua Mwenyezi Mungu ANGEWAJIBU Na Tayari Ameshawajibu. Mngejua Watu Sometimes Hadi TUNAHATARISHA Maisha Yetu Kupata NYETI Zilizopo Huku Nyie Mkiwa Mnasubiri KULISHWA Tu Halafu Mnaenda Kupatia KIKI Huko Mitaani Na Maofisini Mwenu. Narudia Tena Ewe Uliyeshiriki KINDAKINDAKI Kunitusi, Kunidhihaki na Kunikebehi Hata Kama Utaona Aibu Kuniomba RADHI Basi Piga Tu Hata Goti Hapo Ulipo TUBU Kwa Mungu Wako Na Atakusamehe Kwa Niaba Yangu. Siku Nyingine Muwe Mnaiheshimu Hii ID Tena Muiheshimu Kwa KUTUKUKA Na Ikibidi MUIKUMBATIE Kama Siyo KUIBEMBELEZA.
Pale ambapo mnyarwanda anapojifananisha na yesu[emoji117] [emoji117] [emoji15] [emoji15]Hata Mamako Bila Kuwa Mbea Asingekuzaa! Nimenufaika Kuwaleteeni HABARI Motomoto Na Ya Mapema Sana. Hayo Maelezo Yangu Mengi Na Yenye UFAFANUZI Wa KIMANTIKI Ndiyo Yanayonifanya Niwe Tofauti Nawe Hasa Katika Credibility. Bahati Mbaya Sana au Nzuri Mno Huwa Nina Majibu Kama Ya Yesu Kristo Ambapo Humjibu Mtu Kulingana Na UNAFIKI au UTIIFU Wake.
Marekani hakuna bondia mwenye jina hilo. Au Clouds FM walikuambia yupo?