Mlionunua apartment ghorofani juu kabisa Palm Village au Magomeni apartment, mjue mnaishi ndoto yangu

Apartments hazina raha, hazina uhuru, huwezi kujiachia hasa ukiwa na shughuli ama kufanya vitu vya ubunifu kama
Land scaping
Gardens
Nk
Zaidi ya yote, inapotokea dharura hasa hasa moto Ndiyo Utajua ubaya wake. Vikosi vyetu vya uokoaji na zima moto hawana vifaa vya kuwaokoa mkiwa huko mawinguni. Picha ndogo ilikuwa hapo Kariakoo juzi juzi. Kuna watu walikufa unnecessary tuseme Ukweli.
 
Kwa mtu mwenye pesa zake apartments ni kwa ajili ya kupangisha tu. Hazina mvuto wa kuishi na familia kubwa as hakuna nafasi ya kujiachia.
mkuu wanaoishi kwenye hizo apartment ni wale wanaopenda kuishi kishua wasiopenda yale maisha ya changanyikeni yaani wao wanaishi yale maisha ya kizungu..vivyo wao kulipia milioni 2-5 kama kodi kwa mwezi wala hawawazi isitoshe apartments nyingi sahivi unakuta full furniture na kila kitu ndani ww unakuja na nguo zako tu..ila sisi wenye hela za mawazo tunawadis sababu hatuna hela na wakitumia pesa zao sisi tunaona kama wanazitupa tu kwani hatupo level zao so hata vipaumbile lazima tuwe tofauti hatuwezi kuwa fikra zawa..umaskini mbaya sana
 
Zaidi ya yote, inapotokea dharura hasa hasa moto Ndiyo Utajua ubaya wake. Vikosi vyetu vya uokoaji na zima moto hawana vifaa vya kuwaokoa mkiwa huko mawinguni. Picha ndogo ilikuwa hapo Kariakoo juzi juzi. Kuna watu walikufa unnecessary tuseme Ukweli.
Inconvenience ya umeme kwenye lift au ngazi ile panda shuka hasa kama unakaa floor za mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…