Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Salam zenu ninyi mnaoishi ndoto zangu.
Nitakuja kuishi siku moja tuwe majiranj😎
Nitakuja kuishi siku moja tuwe majiranj😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hakika ndoto zako lazima zitimie. Umejaa positive vibrations. Safi sana.Salam zenu ninyi mnaoishi ndoto zangu.
Nitakuja kuishi siku moja tuwe majiranj😎
It's true mkubwa!Apartments hazina raha, hazina uhuru, huwezi kujiachia hasa ukiwa na shughuli ama kufanya vitu vya ubunifu kama
Land scaping
Gardens
Nk
za kununua siongelei za kupangaApartments hazina raha, hazina uhuru, huwezi kujiachia hasa ukiwa na shughuli ama kufanya vitu vya ubunifu kama
Land scaping
Gardens
Nk
yaanHongera zao
Nataka kumiliki siyo kupangaNenda buza Kuna apartment za elf kumi kumi uishi ndoto yako kiongozi
Zaidi ya yote, inapotokea dharura hasa hasa moto Ndiyo Utajua ubaya wake. Vikosi vyetu vya uokoaji na zima moto hawana vifaa vya kuwaokoa mkiwa huko mawinguni. Picha ndogo ilikuwa hapo Kariakoo juzi juzi. Kuna watu walikufa unnecessary tuseme Ukweli.Apartments hazina raha, hazina uhuru, huwezi kujiachia hasa ukiwa na shughuli ama kufanya vitu vya ubunifu kama
Land scaping
Gardens
Nk
mkuu wanaoishi kwenye hizo apartment ni wale wanaopenda kuishi kishua wasiopenda yale maisha ya changanyikeni yaani wao wanaishi yale maisha ya kizungu..vivyo wao kulipia milioni 2-5 kama kodi kwa mwezi wala hawawazi isitoshe apartments nyingi sahivi unakuta full furniture na kila kitu ndani ww unakuja na nguo zako tu..ila sisi wenye hela za mawazo tunawadis sababu hatuna hela na wakitumia pesa zao sisi tunaona kama wanazitupa tu kwani hatupo level zao so hata vipaumbile lazima tuwe tofauti hatuwezi kuwa fikra zawa..umaskini mbaya sanaKwa mtu mwenye pesa zake apartments ni kwa ajili ya kupangisha tu. Hazina mvuto wa kuishi na familia kubwa as hakuna nafasi ya kujiachia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda buza Kuna apartment za elf kumi kumi uishi ndoto yako kiongozi
Najua ni za kununua.. Kwamimi siziwezi maana napenda nafasi na ufanisi wa kutoka na kuingia na privacyza kununua siongelei za kupanga
Inconvenience ya umeme kwenye lift au ngazi ile panda shuka hasa kama unakaa floor za mbaliZaidi ya yote, inapotokea dharura hasa hasa moto Ndiyo Utajua ubaya wake. Vikosi vyetu vya uokoaji na zima moto hawana vifaa vya kuwaokoa mkiwa huko mawinguni. Picha ndogo ilikuwa hapo Kariakoo juzi juzi. Kuna watu walikufa unnecessary tuseme Ukweli.