successiful dreamer
Senior Member
- Sep 10, 2019
- 103
- 191
Singapore kuna gar kali sanaMkuu kwani wewe unachotaka kujulishwa ni namna ya kuagiza gari toka nje na kuli-clear bandarini, au kuagiza gari toka Japan na kuli-clear?
Kwa namna ya swali lako, mimi niliagiza gari toka Singapore kwa bei poa na kuli-clear kiulaini kabisa, lakini kwa kuwa unataka wale walioagiza toka Japan basi siwezi kukusaidia
Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba uzoefu kwa nyie mliojaliwa kupata magari kwa kuyaagiza toka Japani hasa yale ya mtumba mlifanyaje fanyaje mpaka mzigo ukawafikia? Pale Bandarini mzigo ulitokaje?
Naomba wenye uzoefu na haya mambo mnijuze tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila naonaga be foward kupata gari pamba inabdi utulize akili sana thou bei zao ni cheap kama sbt
Kwani Mkuu kuna sehemu nimesema wanakuchagulia?
Na bado wanadanganya kilomita za gari...
Tumia wakala kama Befoward, itakupunguzia usumbufuHabari za jioni ndugu zangu,
Naomba uzoefu kwa nyie mliojaliwa kupata magari kwa kuyaagiza toka Japani hasa yale ya mtumba mlifanyaje fanyaje mpaka mzigo ukawafikia? Pale Bandarini mzigo ulitokaje?
Naomba wenye uzoefu na haya mambo mnijuze tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado wanadanganya kilomita za gari...
Gari zao ni nzuri piaIla naonaga be foward kupata gari pamba inabdi utulize akili sana thou bei zao ni cheap kama sbt
Suala la gari watu wengi wanakuwa waoga... Ila nimesikitika sana jamaa wanavyowapiga wateja wao wanaowaagizia magari...Ila sababu ni Watanzamia kuzidi ujinga yaani mtu anajua download porn anashindwa agiza na kulipa kodi ya gari lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia enhanceGari zao ni nzuri pia
Mimi siyo mwizi ila nimewahi kuwa mteja wa Befoward. Kutuma pesa kweli ni US$ 59; nani anatuma? Huyo anayetuma hana gharama? Huo mtandao wa internet haulipiwi? Kupitia ofisi ya Befoward nilipata "Discount" sijui kama ukaigiza peke yako ipo; Befoward walinifanyia "clearance" sasa mtu aliyeko Mwanza aanze usumbufu wa kutafuta Clearing agent Dar wakati yuko Mwanza nao ni mkwamo fulani.Wewe ni mmoja wa hao wezi. Kutuma hela ni dollar 59 bank wewe unasema 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei zao zipo juu mnoIngia enhance
Ni kweli ila gari zao ni kaliBei zao zipo juu mno
Be Forward gari zao mbofumbofu.Ila naonaga be foward kupata gari pamba inabdi utulize akili sana thou bei zao ni cheap kama sbt