monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For sure... Hazijanyooka kabisa, ila kuna kampuni sio maarufu ila zina gari kali hata japan autocom kama sjakoseaBe Forward gari zao mbofumbofu.
Kampuni za kuaminika kupata quality car ni:
Autorec na Japanesevehicles.
Safi sana!Be Forward gari zao mbofumbofu.
Kampuni za kuaminika kupata quality car ni:
Autorec na Japanesevehicles.
Kwa upande wangu nawatumia sana Kimomwe Motors Limited. Wanakushauri, unapata nafasi kubwa ya kuchagua gari nzuri sababu wana deal na kampuni nyingi za huko nje. Pia itakusaidia kupata gari kwa bei nafuu, dhamana ya pesa yote wanabeba wao na gari ikipata tatizo bandarini au kwenye meli wanawajibika bila kukuzungusha....wenyewe wana masemo wao kwamba “tunampa huduma bora mteja ili atuwezeshe kukua zaidi kwa kuleta wengine na wengine”Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba uzoefu kwa nyie mliojaliwa kupata magari kwa kuyaagiza toka Japani hasa yale ya mtumba mlifanyaje fanyaje mpaka mzigo ukawafikia? Pale Bandarini mzigo ulitokaje?
Naomba wenye uzoefu na haya mambo mnijuze tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️Mkuu kwani wewe unachotaka kujulishwa ni namna ya kuagiza gari toka nje na kuli-clear bandarini, au kuagiza gari toka Japan na kuli-clear?
Kwa namna ya swali lako, mimi niliagiza gari toka Singapore kwa bei poa na kuli-clear kiulaini kabisa, lakini kwa kuwa unataka wale walioagiza toka Japan basi siwezi kukusaidia
Vipi TradeCarView?Be Forward gari zao mbofumbofu.
Kampuni za kuaminika kupata quality car ni:
Autorec na Japanesevehicles.
Sina experience nao. Lakini ukimkuta Clearing Agent mzoefu, atasema kama wapo vizuri. Lakini Autorec ndiyo bora.Vipi TradeCarView?
![]()
TCV(former tradecarview)ï½Japanese used cars, best quality marketplace
[tradecarview] became ãTCVã. 182825 stock items | TCV is the largest used car marketplace in Japan. Used Toyota, Nissan, Honda, SUV, trucks, buses: a wide variety of Japanese second-hand vehicles for sale. Import used cars directly from Japanese exporters.www.tc-v.com
Gari la kuagiza ushalipata?Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba uzoefu kwa nyie mliojaliwa kupata magari kwa kuyaagiza toka Japani hasa yale ya mtumba mlifanyaje fanyaje mpaka mzigo ukawafikia? Pale Bandarini mzigo ulitokaje?
Naomba wenye uzoefu na haya mambo mnijuze tafadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hata mimi nimesikia sifa zao ila upungufu wao ni kuwa hawana magari mengi ya kuchagua. Hao TradeCarView wana magari mengi sana, kila brand na kila model.Sina experience nao. Lakini ukimkuta Clearing Agent mzoefu, atasema kama wapo vizuri. Lakini Autorec ndiyo bora.
Acha porojo za vijiweni. Unaibiwaje kila kitu umeambiwa kinafanyika kwa uwazi. We itakua unaathirika na uwepo wa hawa Kimomwe Motors. Huwezi kutumia neno kali kama hilo bila maelezo ya kina kwamba wamekuibia kwenye mazingira hani!
Hao wote na wenzao kina kct na wengine ndio wezi na wazee wa janja janja...wazee wa kudanganya hadi kilomita
Mzee nahisi una ka mgao kako... Angalia gari zinazopostiwa na hao wadau wako halafu nenda kwenye website zinazouza hizo gari ndio utajua kama hoja za kitoto au ww kamishen ndio zinakutoa akiliUna hoja ya kitoto sana ndugu. Unawezaje kusema ni wezi bila maelezo ya kutosha. Binafsi nimewatumia Kimomwe Motors sana, ingekua ni wezi wasingeweza kusomga mbele kwa kasi ambayo wako nayo.
Hapo kwenye kilomita ndio panaonesha ulivyo sifuri kichwani mwako. Mfano Huyo kimomwe anawezaje kudanganya kilomita ambazo ziko wazi kwa huyo muuzaji wa Japan. Hizi kampuni zimeanzishwa ili kumpunguzia adha mwananchi mwenye majukumu mengi na wakati huo huo kumpunguzia risk maana wanakufanyia process zote.
Ila sijui ni madalali wa mtandaoni, maana gari zao naona wanatoa kwenye web kama be foward, enhance yani mchanganyiko na bei zao huwa juu kiasi kulinganisha na kule walipoitia hiyo gari... Fuatilia utaona gari zao ni zile zile zilizopo kwenye web nyingneNi kweli hata mimi nimesikia sifa zao ila upungufu wao ni kuwa hawana magari mengi ya kuchagua. Hao TradeCarView wana magari mengi sana, kila brand na kila model.
Nilishawahi agiza gar kwenye hii kampuni 2014 kiufupi mpaka kesho namwaga oil tu shida hawana gari nyingi isipokuwa gari zao zimenyoka sanaIngia enhance
Si vibaya Synthesizer kama utatoa uzoefu wako kwa faida yetu, swali lake limebase sana kwenye mazoea yetu watanzania walio wengi kuwa magari tunaagiza kutoka Japan. Unaweza kuwafungua macho watu wengi ili tuondokane na mazoea. Tafadhali mkuuMkuu kwani wewe unachotaka kujulishwa ni namna ya kuagiza gari toka nje na kuli-clear bandarini, au kuagiza gari toka Japan na kuli-clear?
Kwa namna ya swali lako, mimi niliagiza gari toka Singapore kwa bei poa na kuli-clear kiulaini kabisa, lakini kwa kuwa unataka wale walioagiza toka Japan basi siwezi kukusaidia
Mzee nahisi una ka mgao kako... Angalia gari zinazopostiwa na hao wadau wako halafu nenda kwenye website zinazouza hizo gari ndio utajua kama hoja za kitoto au ww kamishen ndio zinakutoa akili