Mlionunua Magari kwa kuagiza kutoka Japan tafadhali njooni hapa

Mlionunua Magari kwa kuagiza kutoka Japan tafadhali njooni hapa

nmejifunza ktu hapa asee yaan gari ya milion 5.4 wanakuja kutuuzia milion 12.5 daaah asee hawa jamaa yaan zaid ya mara mbili ya bei

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo bei yao wameshajumlisha na kodi na gharama za bandarini... Na hiyo ya kwenye website ya wauzaji ni gharama ya kuinunua gari japan na kuisafirisha hafi bandarini inaitwa CIF... So hapo wao wameweka na kodi na faida yao! Ambapo huenda ukiagiza mwenyew ingekuwa chini kama kidogo kama 11 au 10.5
 
Mkuu hiyo bei yao wameshajumlisha na kodi na gharama za bandarini... Na hiyo ya kwenye website ya wauzaji ni gharama ya kuinunua gari japan na kuisafirisha hafi bandarini inaitwa CIF... So hapo wao wameweka na kodi na faida yao! Ambapo huenda ukiagiza mwenyew ingekuwa chini kama kidogo kama 11 au 10.5
aha pw pw nmekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fair kidogo... Ila port charges inabdi uwe sharp kidogo kulipa kodi ili gari isikae bandarini sio
Yes, ukilipa kodi haraka unapunguza siku za kukaa. Kama umechagua beforward kama C&F agent documents wanatuma kwa ofisi yao dsm. Wakishakadiria kodi wanakutumia info, unaweka pesa kwenye account yao, wao ndio wanalipa TRA. It is so easy that way
 
Mkuu naweza kuja PM kwa msaada zaidi kuhusu kuagiza na kuli clear bandarini?
Mkuu kwani wewe unachotaka kujulishwa ni namna ya kuagiza gari toka nje na kuli-clear bandarini, au kuagiza gari toka Japan na kuli-clear?

Kwa namna ya swali lako, mimi niliagiza gari toka Singapore kwa bei poa na kuli-clear kiulaini kabisa, lakini kwa kuwa unataka wale walioagiza toka Japan basi siwezi kukusaidia

Sent using tofali la kuchoma
 
Maelezo safi sana haya mkuu
1.Chagua gari mtandaoni
2.Beforward.jp
Watakuletea invoice
3.Peleka benki yoyote ya biashara,mie natumia Diamond trust,utalipa na ya kutuma kwa pesa za kitanzania
4.Benki watakupa confirmation kwamba pesa imeshaingizwa kwenye akaunti ya muuza gari
5.Itume hiyo confirmation kwa email kwa muuza gari
6.Muuza gari atakuletea confitmation kwamba amepokea pesa yako,na siku fulani atapandisha gari melini
7.Baada ya kupandisha gari melini utaletewa sampuli ya shipping documents ili uweze kuhakiki majina na anuani
8.Ukishahakiki utamruhusu atume shipping documets,aidha zije kwako moja kwa moja au zifikie kwenye ofisi yao
9.Ukishapokea shipping documents,utampa wakala wa forodha aanze mchakato wa kulitoa gari,unaweza lipia kodi kabla gari halijafika,ili likifika tu ulitoe ndani ya saa 24

NB maelezo hayo ni kutokana na uzoefu niliopata kwa Beforward

Sent using tofali la kuchoma
 
Labda ulichagua ya nafuu sana au bahati mbaya yako. mimi nimetumia sana beforward na kila mara nimepata gari nzuri kabisa. Tena huwa nawatumia na kufanya na clearing kabisa. Nikiitwa naenda kuchukua gari lenye registration kabisa. No usumbufu, no delay na giari zuri.
Ila kama umenuna gari labda kwa USD 1,500 lakini averege price ya gari ya aina hiyo ni USD 2,000 lazima yako itakua hafifu kidogo
Kiongozi, kwa US $ 1,500 ni gari au pikipiki?

Sisemi kwamba gari zao zote si nzuri, la hasha. Unaweza kubahatisha ukapata kitu kizuri. Lakini kwa Autorec au Japanesevehicles, ni uhakika kwa asilimia 100% gari itakuwa nzuri.

Habari za kubadili vitu kama tyrod end etc utavisikia baada ya miaka miwili minimum. Hapo kati ni service za kawaida - kumwaga oil, kubadili filters etc.
 
Japan kuchezea kilomita ni kosa la jinai... Ila huku bongo ndio kuna hiyo michezo... Wananchokifanya hawa wanaojiita wanasaidia watu kuagiza magari huwa hawakuonyeshi gari ina imetembea kilomita ngapi. Kama imetembea km 150,000 wao wataipost kwnye page zao na kuandika imetembea km labda 50,000 tu ilinuvutiwe na kwa sababu gari wakikuagizia inafikia kwao kwanza hapoa ndio wanapata mwanya wa kuchezea kilomita na kuweka zile walioandika hadi ukavutiwa nayo... Wabongo wengi tunanunua gari kwa kuangalia imetembea kilomita ngapi
Huwa nacheka sana mtu ananunua gari kwa makampuni ama madalali wa Tanzania anahangaika na kuangalia kilometers. Hizo zinachezewa kuanzia pale bandarini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajanja sana wanaongeza hela afu watakwambia sisi tunalipwa na wauza magari na twafanyiwa discount
Mkuu hiyo bei yao wameshajumlisha na kodi na gharama za bandarini... Na hiyo ya kwenye website ya wauzaji ni gharama ya kuinunua gari japan na kuisafirisha hafi bandarini inaitwa CIF... So hapo wao wameweka na kodi na faida yao! Ambapo huenda ukiagiza mwenyew ingekuwa chini kama kidogo kama 11 au 10.5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom