Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Weee usinambie mbona zinaonekana mpyaIla lazima upeleke gari gerage kwanza maana zinakujaga na matatizo kibao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee usinambie mbona zinaonekana mpyaIla lazima upeleke gari gerage kwanza maana zinakujaga na matatizo kibao.
Yes, ukilipa kodi haraka unapunguza siku za kukaa. Kama umechagua beforward kama C&F agent documents wanatuma kwa ofisi yao dsm. Wakishakadiria kodi wanakutumia info, unaweka pesa kwenye account yao, wao ndio wanalipa TRA. It is so easy that way
Kama una muda huo sawa. Kwa mini hata wangeniambia ni 500k ningeona nafuu kuliko kupoteza muda wangu
Tena wanawaambiaga registration bure 😂😂😂Ndo maana nikasema na huwa nawwambia kwenye page zao wanawaibia watu hela.
Anakwambia kutoa IST ni 750000 eti pamoja na registration wakati ukilipia kodi registration inakatwa moja kwa moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuchagua tu aina ya gari za kuuza... Be foward wanaweka hadi vimeo ushindwe ww tu na bei yako
Hamna lolote Mkuu...Wajanja sana wanaongeza hela afu watakwambia sisi tunalipwa na wauza magari na twafanyiwa discount
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la gari watu wengi wanakuwa waoga... Ila nimesikitika sana jamaa wanavyowapiga wateja wao wanaowaagizia magari...
Fuatilia uziWanawapiga vipi, mhona bei zao ni kawaida kama ukiagiza mwenyewe? Hebu fafanua kidogo hapo kwa faida ya wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bei zao nazo sio za mchezo mchezo.Singapore kuna gar kali sana
Je umeagiza gari nje ya nchi na unahitaji Huduma ya clearance ya gari lako? Na unawaza Agent gani atakutolea bandarini Dar es salaam kwa bei nafuu na haraka? Basi angalia bei zangu za baadhi ya magari (Local) ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. na km aina ya gari lako haipo apa usisite kuniuliza.
1: IST - 750,000/=
2: HARRIER New-900,000
3: HARRIER Old-800,000/
4: RAV 4 - 800,000/=
5: RAUM - 750,000/=
6: SPACIO - 750,000/=
7: PASSO - 750,000/=
8: VITZ - 700,000/=
9: PREMIO - 750,000/=
10: ALTEZA - 750,000/=
11: SUBARU - 750,000/=
12: CARINA - 750,000/=
13:COASTER-1,760,000/=
14: CANTER- 1,300,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no + Registration
----------------------------------------
DM/Piga 0653953900
Company: DN holdings
Location: Nkurumah st
Dar es salaam, Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei zao mkasi sana...Na bei zao nazo sio za mchezo mchezo.
Yani usiombe ila gari zao kwa kuzitazama tu unasema naam.
Unahusisha vipi Registration wakati registration nalipa kwenye kodi ya gari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila gari zao kwa kuzitazama tu unasema yes.Bei zao mkasi sana...
Mkuu umetisha, hizi ndo tunaita hoja zenye mashiko. Umeprove beyond Reasonable doubt kwamba unajua unachokiongea.View attachment 1329153View attachment 1329155
Soma mileage za hiyo gari... Ni gari moja lakini waagizaji wameweka kilomita zao zao, na wauzaji wenyewe enhance wameweka kilomita halisi
Kwa haraka haraka kuna faida ya kama 3M hapo. Boya unapigwa picha kadhaa na kupewa cheti cha mteja wa kampuni🤣🤣🤣 imeisha hio!nmejifunza ktu hapa asee yaan gari ya milion 5.4 wanakuja kutuuzia milion 12.5 daaah asee hawa jamaa yaan zaid ya mara mbili ya bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anaongelea za Beforward lakini ambazo pia huwa sio nyingi, za Singapore sio za kupeleka gereji.