HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mkuu kuna sehemu nimesema wanakuchagulia?
Hiyo ya kwanza hawajaweka kodinmejifunza ktu hapa asee yaan gari ya milion 5.4 wanakuja kutuuzia milion 12.5 daaah asee hawa jamaa yaan zaid ya mara mbili ya bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo 5 regstration na plate namba si inakua imelipiwa kwenye kodi?Je umeagiza gari nje ya nchi na unahitaji Huduma ya clearance ya gari lako? Na unawaza Agent gani atakutolea bandarini Dar es salaam kwa bei nafuu na haraka? Basi angalia bei zangu za baadhi ya magari (Local) ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. na km aina ya gari lako haipo apa usisite kuniuliza.
1: IST - 750,000/=
2: HARRIER New-900,000
3: HARRIER Old-800,000/
4: RAV 4 - 800,000/=
5: RAUM - 750,000/=
6: SPACIO - 750,000/=
7: PASSO - 750,000/=
8: VITZ - 700,000/=
9: PREMIO - 750,000/=
10: ALTEZA - 750,000/=
11: SUBARU - 750,000/=
12: CARINA - 750,000/=
13:COASTER-1,760,000/=
14: CANTER- 1,300,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no + Registration
----------------------------------------
DM/Piga 0653953900
Company: DN holdings
Location: Nkurumah st
Dar es salaam, Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Akijibu nitagi basiHiyo 5 regstration na plate namba si inakua imelipiwa kwenye kodi?