Parasite
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 613
- 575
Hiyo siku niko home nashangaa simu inaita kupokea akajitambulisha nakusema kwamba mim nilidondosha lesen na kikaratas chenye namba ya simu,nikamwambia sio kweli mbona lesen yangu ninayo,nilivyokagua kumbe kweli.nilichanganyikiwa unajua,akanambia upo Tz sehemu gani nikamwambia Arusha akanambia atakuja kuniletea lesen yangu,nikamwambia sawa.
Siku ya tatu mtu ananipigia nimeshafika Tz nipo green mountain hotel njoo uchukue leseni yako.
Siku ya tatu mtu ananipigia nimeshafika Tz nipo green mountain hotel njoo uchukue leseni yako.