jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Jamaa huyo ni mbishi,waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana.
Huyu hana tofauti na reseter asiyetaka kubadilika,atafeli tena.
Narudia tena ninae mwanamke mnyarwanda na kwao zipo ila haelewi mtoto na yuko tayari kwa lolote hata kuishi Tz,kidume ndio nazingua sitaki kuoa.
Nigawie huyo mchumba!!