Hiyo siku niko home nashangaa simu inaita kupokea akajitambulisha nakusema kwamba mim nilidondosha lesen na kikaratas chenye namba ya simu,nikamwambia sio kweli mbona lesen yangu ninayo,nilivyokagua kumbe kweli.nilichanganyikiwa unajua,akanambia upo Tz sehemu gani nikamwambia Arusha akanambia atakuja kuniletea lesen yangu,nikamwambia sawa.
Siku ya tatu mtu ananipigia nimeshafika Tz nipo green mountain hotel njoo uchukue pasport yako.
Wanyarwanda wana mapenzi ya ukweli si sawa na hawa dada zetu wadangajiKulingana na story kua nyingi mara hili mara lile kuuhusu ku-date wanyarwanda!
Mara mkizaa watoto unapachikiwa mtoto wa katikati na ndugu yake mkeo! Mara wanakimbia na watoto! Yaan vulu vulu
Wengine wanadai ni waaminifu sanaa n.k Nimeona niombe experience.
Eehh
KAMA UMEOA AU UNADATE MNYARWANDA MAMBO YAKO!
Leseni ishakua passport tayari, ama kweli chai ya ndimu [emoji1][emoji1][emoji1]Hiyo siku niko home nashangaa simu inaita kupokea akajitambulisha nakusema kwamba mim nilidondosha lesen na kikaratas chenye namba ya simu,nikamwambia sio kweli mbona lesen yangu ninayo,nilivyokagua kumbe kweli.nilichanganyikiwa unajua,akanambia upo Tz sehemu gani nikamwambia Arusha akanambia atakuja kuniletea lesen yangu,nikamwambia sawa.
Siku ya tatu mtu ananipigia nimeshafika Tz nipo green mountain hotel njoo uchukue pasport yako.
Sio kweli mkuu, wanyarwanda hawana mapenzi hata kidogo. Ipo siku utaelewa.Wanyarwanda wana mapenzi ya ukweli si sawa na hawa dada zetu wadangaji
Ndani ya pasport ndio kulikua na lesen na karatas ambayo ilikua na namba,sijajua ilidondoka au aliichomoa makusudikali.Leseni ishakua passport tayari, ama kweli chai ya ndimu [emoji1][emoji1][emoji1]
We jamaa muongo sana asee daaah!! Undondoshe leseni na namba ya simu!!? Leseni inakaaje na namba ya simu? Pia ulisema hukujua kama umepoteza mpaka ulipopigiwa simu!! Alafu hotelini uliletewa Passport sio leseni tena!!Hiyo siku niko home nashangaa simu inaita kupokea akajitambulisha nakusema kwamba mim nilidondosha lesen na kikaratas chenye namba ya simu,nikamwambia sio kweli mbona lesen yangu ninayo,nilivyokagua kumbe kweli.nilichanganyikiwa unajua,akanambia upo Tz sehemu gani nikamwambia Arusha akanambia atakuja kuniletea lesen yangu,nikamwambia sawa.
Siku ya tatu mtu ananipigia nimeshafika Tz nipo green mountain hotel njoo uchukue pasport yako.
Palipokosewa rekebisha ila huo ndio ukweli,usijilazimishe kuamin sawa.We jamaa muongo sana asee daaah!! Undondoshe leseni na namba ya simu!!? Leseni inakaaje na namba ya simu? Pia ulisema hukujua kama umepoteza mpaka ulipopigiwa simu!! Alafu hotelini uliletewa Passport sio leseni tena!!
Nielewe kivipi wakati mimi nimewadate wengi wao?Sio kweli mkuu, wanyarwanda hawana mapenzi hata kidogo. Ipo siku utaelewa.
Jamaa huyo ni mbishi,waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana.Nielewe kivipi wakati mimi nimewadate wengi wao?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@Tajiri tumbo kubwa Kulikua na haja ya kutumia kingereza!!??
Ona sasa[emoji23][emoji23][emoji23]unavoaibika
Hahahahahahaha we jamaa comment yako imenifanya nicheke kifala sana!!Sawa mkuu ila kutype nyuma ya keyboard isiwe sababu ya kudharauliana na kuniita panyabuku
Hapo nimemjibu aliyemshauri jamaa aoe mrundi
Mambo haya yameanza kutoweka mkuu.[emoji117]Kwanza lazima uwe na vitanda viwili kimoja cha game kingine cha kulalalia maana wana mwaga maji kama kama mto malagarasi
[emoji117]Pili kwao mwanamke anasikilizwa sana hafokewi wala kupigwa mara nying huwa wanajisahau na kutaka hii tabia ku apply nje ya kwao
[emoji117]Tatu wanaamini katika kukuza kizazi chao pure so hata kama akizaa na mtu sio mnyarwanda lazima atazaa na mnyarwanda mwenzie hata mtoto mmoja
[emoji117] Nne wazuri wanapenda bata na wanatupenda sana wa TZ yaani mtz ukienda Rwanda utongozi mara mbili
Hili sio kwa woteKwanza lazima uwe na vitanda viwili kimoja cha game kingine cha kulalalia maana wana mwaga maji kama kama mto malagarasi
Hivi hili ni tatizo ama ni hali ya kawaida?
Na huwa inafaida yoyote kwa pande zote mbili me na ke?
Sent using Jamii Forums mobile app