jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Jamaa huyo ni mbishi,waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana.
Huyu hana tofauti na reseter asiyetaka kubadilika,atafeli tena.
Narudia tena ninae mwanamke mnyarwanda na kwao zipo ila haelewi mtoto na yuko tayari kwa lolote hata kuishi Tz,kidume ndio nazingua sitaki kuoa.
Usimsimange tayari jina limemtambulisha skivyo mkuu😅😅@Tajiri tumbo kubwa Kulikua na haja ya kutumia kingereza!!??
Ona sasa[emoji23][emoji23][emoji23]unavoaibika
Biashara ya Watutsi kuoa wahutu imekuwa kawaida sana na inakua siku kwa sikuWachache mno na hata kaka zao wanawatumia na kuwazalisha ila wakitaka kuoa wanaoa wahutu,
Kwasababu wanawake wa kihutu wanajua kuwa wake wema, wana adabu, wanyeyekevu, wachapa kazi na hicho ndicho mwanaume anatafuta kwa mkeBiashat
Biashara ya Watutsi kuoa wahutu imekuwa kawaida sana na inakua siku kwa siku
ninamuonea wivu bro ujue😂Kwasababu wanawake wa kihutu wanajua kuwa wake wema, wana adabu, wanyeyekevu, wachapa kazi na hicho ndicho mwanaume anatafuta kwa mke
Huyu ni bamdogo wako eti😂ninamuonea wivu bro ujue😂
Labda uwe Hawaii mamyNilipo sio usiku😂😂
Ama kweli uliamua🤣🤣Huyu ni bamdogo wako eti😂
Usitake kuniumbua,,, 😂😂Labda uwe Hawaii mamy
Tuko wawili mamy😁😁😁Usitake kuniumbua,,, 😂😂
Aaah ndo hivyo mbingu imeamua😂😂Ama kweli uliamua🤣🤣
Heheheee ulale sasa,Tuko wawili mamy😁😁😁
Enjoy rafiki ndio haswa lengo la kuzakiwa ujueAaah ndo hivyo mbingu imeamua😂😂
Bado sana....Heheheee ulale sasa,
Kwakweli acha nifurahie,, Ni wakati wangu na mimiEnjoy rafiki ndio haswa lengo la kuzakiwa ujue
Futa makovu yote kabisaKwakweli acha nifurahie,, Ni wakati wangu na mimi
Au haupo tz mwenzetuBado sana....
Hivi hajabaki dogo huko kwenu?Kwakweli acha nifurahie,, Ni wakati wangu na mimi