Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu 300000 kubwa sana
Unashindwaje maisha kwa bajeti ya kutumia 10000 kwa siku?
Tulia ujipange,,,wacha kuishi maisha yaso saizi yako
Kubwa sana hiyo kuna watu wanaondoka na laki na maisha yanasongaBaada ya makato na kubakia 300,000 una mke na watoto, unawezaje kumudu familia kwa huo mshahara?
Tupeane uzoefu.
Mkuu kwani chai inanyweka ya shiling ngapi?Yaani 10000 kwa siku kwa familia
Yaani familia ile chai,lunch na dinner,
Watoto waende shule,
Mahitaji madogo madogo yatimie
Kiuhalisia haitoshi kabisa
Bado wewe mtafutaji unatoka asunuhi unatudi jioni maana yake lazima ule n utumie usafiri
Usimfanye mwamba akajiona anafuja pesa haitoshi laki tatu ila kwa kujibana kwa nguvu sawa inatosha
Acha utani mi 670 lakin kichwa kinawaka moto nataka kuacha kibarua hebu nipe uzoefuAise laki tatu unaiona ndogo usawa huu wa magu wakati hapa mimi take home ni laki na nusu na inatosha mimi na familia yangu na chenji inabaki