Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Hao wa buku saba unamaanisha wa pale Lumumba?
Mungu huonyesha njia pasipo na njia.. Jiulize dei waka wa 7000/5000 per day wanamudu vipi!
Bila kusahau cheap labour ambao hulipwa 150k huko viwandani kama take home.