upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya makato na kubakia 300,000 una mke na watoto, unawezaje kumudu familia kwa huo mshahara?
Tupeane uzoefu.
Ndiyo maana unanunulia watoto viatu /yebo yebu oversize ili wakue navyo ,kumbe mambo ya bajeti hayo,safii[emoji3]Aise laki tatu unaiona ndogo usawa huu wa magu wakati hapa mimi take home ni laki na nusu na inatosha mimi na familia yangu na chenji inabaki
Duh...!
Wengine wanafunzi humu. Lazima muione kubwa.
Mkuu kwani chai inanyweka ya shiling ngapi?
Kama ni kula kuku, chipsi nyama choma hiko kiasi hakitoshi
Hapo anatakiwa aishi maisha ya kipato chake sio kufake
Leo unakula nyama kesho tembele
Maisha ndio ivyo
Ndiyo maana unanunulia watoto viatu /yebo yebu oversize ili wakue navyo ,kumbe mambo ya bajeti hayo,safii[emoji3]
Hapana tunaiba sana sio kama unatosha ila na sometimes tuna matumizi makubwa kuliko hata hao wa millionCha ajabu ndo wanaongoza kwa kujenga,,na sio mwizi hata
Mkuu by experience lazima uwe mwizi na uizoee ofisi fasta sana laki tatu kwa hapa town haitoshi hata uwe na budget gani tunaolipwa chini ya hapo ndio tunajua kweli pesa haitoshi lakini sio kwa laki tatu wizi unahusika sana ili kukamilisha mweziBaada ya makato na kubakia 300,000 una mke na watoto, unawezaje kumudu familia kwa huo mshahara?
Tupeane uzoefu.
Ohoooonakataa
Nina Dogo ofisini anapata take home 200000,, kila siku Ana kunywa supu ya kuku asbh,mchana chakula cha 3000 na maji , ingawa hana family ila sielewagi,,Hapana tunaiba sana sio kama unatosha ila na sometimes tuna matumizi makubwa kuliko hata hao wa million
Hpan utakuwa una viposho posho vingne unavipataTake home yangu ni 229,000/ but Nina nyumba japo ya kawaida tu,mke na watoto wanakula na nyumbani kwa wazazi natoa huduma,hii kitu ni mipango tu mkuu,huwezi amini huwa nasevu na akaunti yangu haipungui million kwa tahadhari
Acha kumfatilia mwenzako[emoji16][emoji16][emoji16]Nina Dogo ofisini anapata take home 200000,, kila siku Ana kunywa supu ya kuku asbh,mchana chakula cha 3000 na maji , ingawa hana family ila sielewagi,,
Chai ya 3000?Hata sio ku-fake mzee,
Tu-assume una mke na mtoto mmoja
Chai tu kwa nyumbani kwa hiyo familia watatumia 3000 kima cha chini kabisa,
Wewe pia chai huko kazini kwako assumption 1000 au 1500
Haya mchana familia inakula kiasi gani na wewe unakula nini?
Usiku vipi?
Hapo hujaweka usafiri hata kama ni wa daladala
Hujaweka vocha
Bado hujanywa maji
Mzeee hiyo pesa mjini mtihani
Anaishi kwa tabu kivipi mkuu,na hela aliyo ikopa alipeleka wapi?Watu hawana mshahara kabisa.... MTU amekopa hadi salary slip inamdai na anaishi..
Kifupi unaishi Kwa taabu sana.
Hiyo laki tatu wadau hapo juu wanasema upunguze vitu visivyo vya lazima. Em wavitaje!?
Hela ndogo sana hiyo..
Aiseee,Take home yangu ni 229,000/ but Nina nyumba japo ya kawaida tu,mke na watoto wanakula na nyumbani kwa wazazi natoa huduma,hii kitu ni mipango tu mkuu,huwezi amini huwa nasevu na akaunti yangu haipungui million kwa tahadhari