Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

Inategemeana na sehemu hase sio unaishi sehemu chumba cha kawaida tu kwa mwez unalipa80 elfu nauli kwenda na kurudi si chini ya buku kwa siku lazima itakuwa ndogo lakini kama huku nusu kijiji nusu mjini laki3 unalisha hadi familia ya jirani yako nakutoboa mwezi bila deni,
 
Hongera mkuu 300000 kubwa sana

Unashindwaje maisha kwa bajeti ya kutumia 10000 kwa siku?
Tulia ujipange,,,wacha kuishi maisha yaso saizi yako

Yaani 10000 kwa siku kwa familia

Yaani familia ile chai,lunch na dinner,

Watoto waende shule,

Mahitaji madogo madogo yatimie

Kiuhalisia haitoshi kabisa

Bado wewe mtafutaji unatoka asunuhi unatudi jioni maana yake lazima ule n utumie usafiri

Usimfanye mwamba akajiona anafuja pesa haitoshi laki tatu ila kwa kujibana kwa nguvu sawa inatosha
 
Watu wanapokea chini ya hiyo Laki 3 na anamiliki House girl anaemlipa elf 50, Kodi ya Nyumba elf 50, nauli ya kwenda na kurudi kazini kwa Mwezi pamoja na msosi wa kazini Weka laki moja kwa maana ya elf 3 kwa siku
Ana watoto wawili wanasoma shule za kata pamoja na kila kitu bure wanatozwa elf 1 kila ijumaa ya ‘Maboresho ‘

Iliyobaki ndio Unga , Sukari, mafuta n.k na unakutana nae tupo nae JF kama kawaida full furaha
 
Mkuu kwani chai inanyweka ya shiling ngapi?
Kama ni kula kuku, chipsi nyama choma hiko kiasi hakitoshi

Hapo anatakiwa aishi maisha ya kipato chake sio kufake

Leo unakula nyama kesho tembele
Maisha ndio ivyo
 
Ukishaoa milango ya rizk inafunguka mkuu ukiwa na mwanamke mwerev hyo laki tatu mtapanga matumizi na itatosha kabisaa..

Ukiwa single hyo laki tatu kwa mwezi haitosh hapo haujala na bado haujawa na michepuko miwili au mitatu ..ukioa utapunguza zinaa na anasa so hyo hela inatosha kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…