Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Kwenye ndoa kinachotakiwa ni nguvu za kiume tu hayo mengine utayakuta huko hukoBaada ya makato na kubakia 300,000 una mke na watoto, unawezaje kumudu familia kwa huo mshahara?
Tupeane uzoefu.
mmh??Cha ajabu ndo wanaongoza kwa kujenga,,na sio mwizi hata
Na umepanga kwenye nyumba yake!Cha ajabu ndo wanaongoza kwa kujenga,,na sio mwizi hata
hii ni miujiza mkuu[emoji23][emoji23] (watu wanatembelea miujiza)Subiri waje wanaopataga hizo 300,000/= kwa.Ila pia wamejenga na wanatumia magari yao binafsi kuja ofisin na kila siku mafuta ya 15,000.pia mchana lunch yao si chini ya 10,000.Pia kila jioni wanasimamisha magari yao daily pale kipawa kununua samaki wabichi wa angalau 5,000-10,000 kwa ajili ya nyumbani usiku na matunda pale Goms ya 2,000 na zaidi.Pia pleadge zao za michango ya kila send off na harusi pia watoto wao pia wanasoma pale pale Tusiime,Heritage,Atlas ,canosa etc
Kuna siku nililia kabisaHa haa haa...unaumiaga eeh?
Yaani nimesoma maelezo yooote lakini umenena point ya kufunga mjadala. Huu ndo ukweliCha ajabu ndo wanaongoza kwa kujenga,,na sio mwizi hata
Mkuu hii uliyoandika sidhani kama ni kweli. Makazi vipi unapanga au ulishajenga au walao kuridhi nyumba? Japo inategemea pia mtu anaishi wapi? Kwa maana ya kijijini au mjini lakini hata tukiacha hiyo laki1.5 uliyosema, laki3 ya mleta mada nayo ni ndogo sana kusema ukweli.Aise laki tatu unaiona ndogo usawa huu wa magu wakati hapa mimi take home ni laki na nusu na inatosha mimi na familia yangu na chenji inabaki
Kwanza hongera kwa mshahara.Baada ya makato na kubakia 300,000 una mke na watoto, unawezaje kumudu familia kwa huo mshahara?
Tupeane uzoefu.
Kwenye ndoa kinachotakiwa ni nguvu za kiume tu hayo mengine utayakuta huko huko
Natamani nipate elimu mkuu jinsi gani wewe unaweza daaa.Take home yangu ni 229,000/ but Nina nyumba japo ya kawaida tu,mke na watoto wanakula na nyumbani kwa wazazi natoa huduma,hii kitu ni mipango tu mkuu,huwezi amini huwa nasevu na akaunti yangu haipungui million kwa tahadhari
Kwanza unaish mkoa gani ?Acha utani mi 670 lakin kichwa kinawaka moto nataka kuacha kibarua hebu nipe uzoefu
Watu hawana mshahara kabisa.... MTU amekopa hadi salary slip inamdai na anaishi..
Kifupi unaishi Kwa taabu sana.
Hiyo laki tatu wadau hapo juu wanasema upunguze vitu visivyo vya lazima. Em wavitaje!?
Hela ndogo sana hiyo..