Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

Mimi Myself

Member
Joined
Apr 18, 2022
Posts
8
Reaction score
2
Naomba mnijuze wakuu kwa wale ambao mliomba kazi za Tanroads Tabora, vipi walishaita kwenye interview au watatangaza lini na wanatangaza kupitia website gani? Tafadhali msaada wenu wakuu.
 
Ila poleni sana kwa kuwa na presha maana hata mimi huwa nakerekwa sana unatuma maombi ya kazi halafu kimya muda mrefu
 
Kwa Hali ya[emoji6]Sasa usitegemee Sana kupigiwa simu uhuni umekuwa mwingi
 
nlpta tanroad tabora Apo kama wik mbil zmepta nkaomba kuonana naa hr wakasema bado wanazchambua watakao kua wqualfied ndio watakao itwa nkaweka mikono nyuma nkasema asante mkuu nkatoka

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo jema kama watakua waungwana kutoa mrejesho,ila hata wakikaa kimya poa...mtafutaji hachoki ndio lugha yetu ya kujifariji
 
Hv hawa jamaaa kwanni maombi yao hawapitishi kule sekretariet ya ajira?
 
Back
Top Bottom