Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
ipo ivi [emoji117][emoji117][emoji117] Nilikuwa shortlisted kwenda written ! nikafanya written, application status ikaja selected for oral ! nikapiga oral zikapita kama wiki mbili nikaona Tena imekuwa selected for interview No PSRS/..../.../... ilovotoka pdf ya placement nikaona jina langu ila pia kwenye upande wa account yangu application status ikawa Shortlisted for interview No PARS/.../../..Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje?
Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa.
NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri walamba asali watuambie waliona nini.
Shukrani Kwa ufafanuzi mzuri, Mungu akubarikiipo ivi [emoji117][emoji117][emoji117] Nilikuwa shortlisted kwenda written ! nikafanya written, application status ikaja selected for oral ! nikapiga oral zikapita kama wiki mbili nikaona Tena imekuwa selected for interview No PSRS/..../.../... ilovotoka pdf ya placement nikaona jina langu ila pia kwenye upande wa account yangu application status ikawa Shortlisted for interview No PARS/.../../..
Pamoja mkuuShukrani Kwa ufafanuzi mzuri, Mungu akubariki
Umejifunza kitu gani mkuuShukrani Kwa ufafanuzi mzuri, Mungu akubariki
Kusubiria pdf, ndio final confirmation ππUmejifunza kitu gani mkuu
ππππHahhhh nafikiri tusubiri miongozo ya wengine hapa hapa tutapata jibuKusubiria pdf, ndio final confirmation ππ
Mara nyingi maswali huwa 5 Hadi 7, na huenda majibu yako yakazalisha maswali zaidi.Boss naomba introduction ya oral inavokuwa Kuna kuwa na maswali mangapi
Kabisa kiongoziππππHahhhh nafikiri tusubiri miongozo ya wengine hapa hapa tutapata jibu