Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Ndio inakuwa kama nyota inayotembea kwa kasi...



View: https://youtu.be/xOsOifg4Mm0?si=PGenmcJaPrOBDbjO

Mara zote huwa nikiona phenomenon kama hii nadhani ni satellite tu ya kawaida. Sikuwahi hisi naweza iona ISIS usiku.
Sometimes hizo satellites zinatembea haraka zikifika sehemu zinasimama, au mwanga unapotea kisha unaonekana mbele kwenye path ileile. Mpaka iwe clear sky. Ni rahisi kuzitofautisha na nyota sababu hizi hazibadiri mwanga.
 
Kumekuwa na mambo ya ajabu hivi karibuni yanapita juu ya usawa wa bahari sana.

Leo tumeshuhudia hiki kitu maeneo ya Bahari Beach nani mwingine aliona atueleweshe, maana vilipotea ghafla mawinguni.

 
Inaonekanaje na mimi niion, unaona kabisa shape yake au.

Pia ukisema hainekani usiku haina taa kwani satellite za kawaida zina taa kama hizi za lwo??
ISS pekee ndio inaweza onekana kwenye daylight sababu ni kubwa ina modules kadhaa na units zake, na solar panels zake kubwa kidogo. Satellite ni ndogo zaidi kwa umbo. ISS ikiwa kwenye line nzuri ya mwanga unaona mwanga wake ukiwa refleced kwenye panels zake na modules unaziona.

Ingekuwa unakaa kwenye kisiwa kidogo katikati ya bahari kusipokuwa na pollution ungeona mengi angani, ila ukikaa densely populated cities mji unakuwa na anga chafu linaleta wingu kila muda.
 
Hamas hao, tumejuchanganya kutema mchongo wa mwarabu
 
Hujasikia treni ya umeme iko kwenye majaribio.

Na usiku huwakafsno wa rozari. Hujasikia.

Siimu ya nini sasa wewe. Google uone maajabi ya treni
 
MB 28? Asante mkuu acha nipite nitafuatilia coment nitaelewa
 
Kumekuwa na mambo ya ajabu hivi karibuni yanapita juu ya usawa wa bahari sana.

Leo tumeshuhudia hiki kitu maeneo ya Bahari Beach nani mwingine aliona atueleweshe, maana vilipotea ghafla mawinguni.

View attachment 2917605
Screenshot_20240226-201555~2.png
 
Unahakikisha vipi kuwa ISS na si nyota tu fulani

Path yake huwa inatajwa na NASA, hivyo ukiwa maeneo ambayo yametajwa utaiona...


Nishawahi observe once lakini haikuwa Tanzania, kwenye post yangu ya mwanzo nimeandika ni rahisi kuonekana ukiwa kusini au kaskazini ya dunia...
 
Kmmmk walai hata mi sijaelewa ni kinini
 
Back
Top Bottom