benazirjosemarie
JF-Expert Member
- Dec 22, 2021
- 298
- 539
Hizo ni satelite za starlinkWadau nani kaona kitu usiku huu kinapita juu kama ndege, kinaonekana kama nyota zilizopangana kama 20 hivi zimekaa kwa mstari ulionyooka zinatembea kwa kunyooka hakitoi sauti.
Hapa tulioona wote hatujajua nini maana kilamtu hajawai kuona kama ndege hakuna ndege yenye urefu ule na ingekuwa ndege Ingleton sauti, pia mwanga wake si wa ndege ni inaangaza kama nyota (Terestrial things), kama Satellite hakuna satellite yenye ukubwa ule, au labda nyota fulani na au ni masuala UFO
Nimeshindwa kupiga picha camera yangu haina ubora kabisa.
Aloyekiona na wenye uwelewa zaidi waje hapa.
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app