T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mara zote huwa nikiona phenomenon kama hii nadhani ni satellite tu ya kawaida. Sikuwahi hisi naweza iona ISIS usiku.Ndio inakuwa kama nyota inayotembea kwa kasi...
Track the ISS: How and where to see it
You can see the International Space Station (ISS) from Earth you just need to know where and when to look.www.space.com
View: https://youtu.be/xOsOifg4Mm0?si=PGenmcJaPrOBDbjO
Kwamba ukiwa chini unaona mwanga kutoka kwenye madirisha ya ISS au unamaanisha 😂😂"na si nyota tu fulani",
ISS pekee ndio inaweza onekana kwenye daylight sababu ni kubwa ina modules kadhaa na units zake, na solar panels zake kubwa kidogo. Satellite ni ndogo zaidi kwa umbo. ISS ikiwa kwenye line nzuri ya mwanga unaona mwanga wake ukiwa refleced kwenye panels zake na modules unaziona.Inaonekanaje na mimi niion, unaona kabisa shape yake au.
Pia ukisema hainekani usiku haina taa kwani satellite za kawaida zina taa kama hizi za lwo??
Hahaha daah watu mna majibuu!!Treni ya umeme ya SGR inafanya majaribio leo labda umeme umezidi imeamua kupaa kama ndege
Kumekuwa na mambo ya ajabu hivi karibuni yanapita juu ya usawa wa bahari sana.
Leo tumeshuhudia hiki kitu maeneo ya Bahari Beach nani mwingine aliona atueleweshe, maana vilipotea ghafla mawinguni.
View attachment 2917605
Unahakikisha vipi kuwa ISS na si nyota tu fulani
Sio vimondo..hivi vilikuwa vinatembea taratibu sanaLabda vimondo.
Asante ndugu dah..nimeangalia youtube sasa nimeelewa..maana tulijua alien🤣🤣🤣
Hiki nini?huwakafsno wa rozari
Link IPO wapi?Kuna Uzi Umeeleza Vyema Kabisa Wabongo Mnaogopa Kufa[emoji23]
Nini ni Kmmmk walaiKmmmk walai hata mi sijaelewa ni kinini