Mliopo Dar, hali ya kibiashara ikoje sasa?

Hivi kubeba watu kwenye Baiskeli inaweza kuwa Hustle inayolipa kipindi hiki Kariako-Azizially.


🤣🤣🤣sema wewe october man umekariri sana Dar sijui y! Wenzako wanakuja dar kutekeza milions😎!sina hakika km spirit unayoandika ndo uliyonayo!....!
 
Biashara ya Uber na Taxify nayo imekua ngumu balaa japo tulitegemea vice versa.. Hesabu imekua ngumu .. madereva wanarudisha magari


Sent using Jamii Forums mobile app


Duh..juzi nilichukua uber nikaanza ongea na driver...bwana yule dogo anamake balaa! Alinionesha route za kutoka sa2 had saa6 amekusanya 83!...!nikaomba urafiki naye
 
Wazee wetu walifunga mikanda miezi 18 umesahau au ujaambiwa msoto wake!chamoto tutakiona ila waache ujuaji safari hii wamejiripua wenyewe nyambffff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…