Uchaguzi 2020 Mliopo Lindi na mtwara tujuzeni sie tulio mbali, Majimbo Lindi mjini,Mtwara mjini ni akina nani wametia nia na vipi pale Mtama kwa Nape

Uchaguzi 2020 Mliopo Lindi na mtwara tujuzeni sie tulio mbali, Majimbo Lindi mjini,Mtwara mjini ni akina nani wametia nia na vipi pale Mtama kwa Nape

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba mtumie fursa hii kutufahamisha makada waliotia nia haya majimbo
1. LINDI MJINI

2.MTWARA MJINI.
Hili jimbo nasikia ndo linagombaniwa sana na makada weng kutoka chama tawala, nasikia hadi DED wa Newala kaomba kuachia ngazi ili aje ku-compete na makada wengine.
Pia kuna mjomba wangu mmoja naye ni kada mkubwa sana kutoka CCM naye kajitosa.. Naomba mtuongezee na wengine na kutujuza yanayojiri huko Mji mkubwa(Mtwara)

3.MTAMA HALMASHURI.
Vipi hapa halmashauri mpya, mzee was goli LA mkono(NAPE. NNAUYE) ataendeleza majigambo yake ama vp, hakuna makada wengine wanaolinyemelea jimbo..?
 
Lindi mjini nasikua aliyekuwa mbunge wa zamani Abdulaziiz au Silipi anarudi kugombea
 
Umemaliza chuo? MATI Mtwara ni kambi ya kilimo na si chuo cha kilimo
 
Umemaliza chuo? MATI Mtwara ni kambi ya kilimo na si chuo cha kilimo
Kwani kusoma si kunaisha mkuu..
Ila acha kuki-undermine chuo husika namna hyo, Wizara husika ukikubaini utajutia haya maneno yako.
 
Back
Top Bottom