Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba mtumie fursa hii kutufahamisha makada waliotia nia haya majimbo
1. LINDI MJINI
2.MTWARA MJINI.
Hili jimbo nasikia ndo linagombaniwa sana na makada weng kutoka chama tawala, nasikia hadi DED wa Newala kaomba kuachia ngazi ili aje ku-compete na makada wengine.
Pia kuna mjomba wangu mmoja naye ni kada mkubwa sana kutoka CCM naye kajitosa.. Naomba mtuongezee na wengine na kutujuza yanayojiri huko Mji mkubwa(Mtwara)
3.MTAMA HALMASHURI.
Vipi hapa halmashauri mpya, mzee was goli LA mkono(NAPE. NNAUYE) ataendeleza majigambo yake ama vp, hakuna makada wengine wanaolinyemelea jimbo..?