Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Aisee huyu kakalia amira nini?
Mikito namna hii natembea na AK 47 ukimtazama mara 2 nakulima shaba maana imeandikwa ukimtazama mwanamke mara 2 basi umezini nae....
Aisee huyu kakalia amira nini?
Mikito namna hii natembea na AK 47 ukimtazama mara 2 nakulima shaba maana imeandikwa ukimtazama mwanamke mara 2 basi umezini nae....
Kusema ukweli nilipapenda sana states lakini si sehemu ambayo mtu kama mimi naweza kusurvive katika mazingira kama haya
Hivi watu wa ATL mnasurvive vipi namna hii? maana wanawake ndio wenye pesa zaidi sasa kwa nini msi wa wife wanawake kama hawa kisha basi?
duh!
kama huyu mie namweka ndani hakuna kutoka na nakuwa mkali kuliko Osama na zaidi ya yote akitoka basi ni NINJA tuuu hapa haaminiwi mtu si Abtichaz wala huyo ES na jamaa zake
GT kila kizuri kina shida yake.
Malipo ya uzinzi ni kifo.
Hawa madada Mungu kawaumba vizuri sawa. Na wanafurahisha macho sawa> Lakini...............Sikushauri kufunga hizyo safari ya kwenda usa kuwatafuta! just for the sake of your life!
ahhh wapi nshabaidili mawazo siendi tena
ntamwambia Kibunago aende
HA-ha-ha-ha-hah
Competition nyingine ni balaa! Huyu hata wanawake wenzie wanamtaka. Uwe tayari ku-share mzee
.
Mkuu Game kwa tarifa yako ndugu zetu walioko USA wametumwa na vijiji huku nyumbani kila mtu katika jamii tunawangalia wao kwamisada pia isitoshe kwa wabongo mambo kama hayo ni maji makubwa kuyaogelea kishindo lakini basi kama hao mbona wapo wengi hapa bongo au kuliko wa huko USA unachotakiwa hapa ni kumpiga sop sop atangara kuliko wa huko USA