Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Kusema ukweli nilipapenda sana states lakini si sehemu ambayo mtu kama mimi naweza kusurvive katika mazingira kama haya
Hivi watu wa ATL mnasurvive vipi namna hii? maana wanawake ndio wenye pesa zaidi sasa kwa nini msi wa wife wanawake kama hawa kisha basi?
duh!
kama huyu mie namweka ndani hakuna kutoka na nakuwa mkali kuliko Osama na zaidi ya yote akitoka basi ni NINJA tuuu hapa haaminiwi mtu si Abtichaz wala huyo ES na jamaa zake