mliopo USA, swali

mliopo USA, swali

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Kusema ukweli nilipapenda sana states lakini si sehemu ambayo mtu kama mimi naweza kusurvive katika mazingira kama haya

Hivi watu wa ATL mnasurvive vipi namna hii? maana wanawake ndio wenye pesa zaidi sasa kwa nini msi wa wife wanawake kama hawa kisha basi?

duh!

l_824a5b5386ab424490c6a60e66b2f714.jpg

l_9f32d7b21fa54d588e21706830da3975.jpg

l_43c7438801f442f2b6ab88897b62a81e.jpg

l_58ebc6342b4a462290cee6d9d2408992.jpg

kama huyu mie namweka ndani hakuna kutoka na nakuwa mkali kuliko Osama na zaidi ya yote akitoka basi ni NINJA tuuu hapa haaminiwi mtu si Abtichaz wala huyo ES na jamaa zake

Cigar_from_nicaragua.jpg
 
Mkuu huo mgongo duh kama mbongo!
Si mchezo watu huko mnafaidi.
Sasa ukimweka ndani atakuwa anakulisha nini wakati yeye ndo mwenye pesa.
Ila hilo figure dah mulua kabisa mkuu.
 
Aisee huyu kakalia amira nini?

Mikito namna hii natembea na AK 47 ukimtazama mara 2 nakulima shaba maana imeandikwa ukimtazama mwanamke mara 2 basi umezini nae....
 
nikiwa States nishajifunza sitembei na pesa

ATL kusema ukweli bado sielewi inakuwaje wabongo hamtaki kuoa
maana wanawake kama wale ni wa kukeep lakini hakuna kusevu mwanangu maana mambo ya pale blueflame si mchezo sema tatizo hakuna kugusa...sasa mambo mazuri huwa yanakuwa kuleeee Woodrow na hit Bazz & Crue's maeneo ya in PG county...fukk it natunga safari mwezi ujao mie

potelea mbali liwalo na liwe
 
Aisee huyu kakalia amira nini?

Mikito namna hii natembea na AK 47 ukimtazama mara 2 nakulima shaba maana imeandikwa ukimtazama mwanamke mara 2 basi umezini nae....

halafu unaambiwa yaani huyo ni kawaida tuu yuko club siku ya umamosi

ahhhhhh no wonder wanasema watoto si rizki wamejazana ATL

eti mtu anakwambia haya mambo ya kawaida

subutuuuuu
 
Aisee huyu kakalia amira nini?

Mikito namna hii natembea na AK 47 ukimtazama mara 2 nakulima shaba maana imeandikwa ukimtazama mwanamke mara 2 basi umezini nae....

HA-ha-ha-ha-hah

Competition nyingine ni balaa! Huyu hata wanawake wenzie wanamtaka. Uwe tayari ku-share mzee

.
 
Ukisikia watu wanajitoa muhanga ndio wanapokutana na mizigo ya aina hii nina imani kabisa kama ujasiri ni mdogo unaweka condom pembeni then ni kutafuna mnofu kwa kwenda mbele!!!! Duh!!
 
Jamani, kwani wa hivyo wako USA pekee? Au issue ni huko kutoboka mfuko?

Wengine wako radhi kubeba na silaha, si mtaua kila mtu manake uongo si kazi, binadamu wa kawaida lazima atamgeukia kumuangalia....
 
If all gorgeous women would also have attractive personality...

.
 
Kusema ukweli nilipapenda sana states lakini si sehemu ambayo mtu kama mimi naweza kusurvive katika mazingira kama haya

Hivi watu wa ATL mnasurvive vipi namna hii? maana wanawake ndio wenye pesa zaidi sasa kwa nini msi wa wife wanawake kama hawa kisha basi?

duh!

l_824a5b5386ab424490c6a60e66b2f714.jpg

l_9f32d7b21fa54d588e21706830da3975.jpg

l_43c7438801f442f2b6ab88897b62a81e.jpg

l_58ebc6342b4a462290cee6d9d2408992.jpg

kama huyu mie namweka ndani hakuna kutoka na nakuwa mkali kuliko Osama na zaidi ya yote akitoka basi ni NINJA tuuu hapa haaminiwi mtu si Abtichaz wala huyo ES na jamaa zake

GT kila kizuri kina shida yake.
Malipo ya uzinzi ni kifo.
Hawa madada Mungu kawaumba vizuri sawa. Na wanafurahisha macho sawa> Lakini...............Sikushauri kufunga hizyo safari ya kwenda usa kuwatafuta! just for the sake of your life!
 
ahhh wapi nshabaidili mawazo siendi tena

ntamwambia Kibunago aende
 
Mkuu Game kwa tarifa yako ndugu zetu walioko USA wametumwa na vijiji huku nyumbani kila mtu katika jamii tunawangalia wao kwamisada pia isitoshe kwa wabongo mambo kama hayo ni maji makubwa kuyaogelea kishindo lakini basi kama hao mbona wapo wengi hapa bongo au kuliko wa huko USA unachotakiwa hapa ni kumpiga sop sop atangara kuliko wa huko USA
 
Lakini yote tisa chombo kama hicho unaweza kumkosea mungu ukafanya yale yaliyo katazwa katika BIBLE hatari lakini salama
 
Wanawake gani hao wewe! Usiangalie lipstick na make-ups. Upuuzi mtupu huo. Njoo bongo, kwa mfano; simama dakika 20 tu pale junction ya askari (Askali Monument: Maktaba and Samora Avenues) katikati ya jiji la Dar. Concentration yako iwe wanawake tu. Then niambie. Utapagawa kabisa. Hizi za net upuuzi tu na hazina mvuto wowote!

HA-ha-ha-ha-hah

Competition nyingine ni balaa! Huyu hata wanawake wenzie wanamtaka. Uwe tayari ku-share mzee

.
 
Mkuu Game kwa tarifa yako ndugu zetu walioko USA wametumwa na vijiji huku nyumbani kila mtu katika jamii tunawangalia wao kwamisada pia isitoshe kwa wabongo mambo kama hayo ni maji makubwa kuyaogelea kishindo lakini basi kama hao mbona wapo wengi hapa bongo au kuliko wa huko USA unachotakiwa hapa ni kumpiga sop sop atangara kuliko wa huko USA

mhsasa umegundua kwa nini sie wengine tunapenda READY MADE? nani ana muda wa kutoa pesa za mikorogo na extensions?
Au hujuui kama sie twawapenda sana wale wenye RANGI RANGI kama yule ustadhi kule ISTI MID-LENDSI?
 
umegundua ehhhh?

hata kama hujala si unaagiza tu zile blue pills au?
 
Heheh ATL totoz nyingi tuu...kwanza ukienda uswahilini totoz za kumwaga nzuri kuliko ata Beyonce na Alicia Keys...ukiwa na 1972 Chevy Impala SS sitting on 22s unabeba kizigo bila gharama.
 
Back
Top Bottom