Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?

Hizi shida ni mtindo mbovu wa maisha kuanzia ukaaji utembeaji na ulalaji hali kadhalika.
Waafrika hatuna desturi ya kufanya stretching na usingwaji. Muhimu sana haya.
 
Tumia sana calcium kwenye mlo wako.

Mwili upatapo viini lishe hurejea kwenye hali yake.

Ngono na kujichua kupita kiasi ni njia moja wapo ambayo huleta athari baadae.

Jipe muda, epuka ngono/punyeto kwa muda na punguza mtindo mbaya wa maisha, kula vizuri nawe utarejea kwenye hali yako.
 
Kaka Shetani.. ni wewe kweli?
 
KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO

Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?

Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?

Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?

Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona

Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
Je umekuwa na tabia ya kujichukulia sheria mkononi kila mara? Je ni mpenzi wa kucheza pool? Acha hilo jambo. Usiji one wewe master beseni.
 
Tumia sana calcium kwenye mlo wako.

Mwili upatapo viini lishe hurejea kwenye hali yake.

Ngono na kujichua kupita kiasi ni njia moja wapo ambayo huleta athari baadae.

Jipe muda, epuka ngono/punyeto kwa muda na punguza mtindo mbaya wa maisha, kula vizuri nawe utarejea kwenye hali yako.
Poa
 
Hizi shida ni mtindo mbovu wa maisha kuanzia ukaaji utembeaji na ulalaji hali kadhalika.
Waafrika hatuna desturi ya kufanya stretching na usingwaji. Muhimu sana haya.
Wewe ongea kwa kusoma kwenye vitabu. Ngoja yaku kute wewe mwenyewe ndio utaona utofauti wa hizo theories za vitabu na uhalisua wa maumivu ambayo hata daktari asome vipi hawezi kuhisi jinsi mgonjwa anavyojisikia. Magonjwa yapo mengi na vyanzo vyake Wala havijulikani na baadhi ya wagonjwa hupona kwa tiba ambazo hazijulikani au hazina scientific proof
 
Kufanya mapenzi ni dawa mojawapo sana ya kiuno na mgongo.
Pili massage hapa napo pazuri mno
Tatu mazoezi
Nne..lala chini. .ukifika home weka mkeka wako lala hapo.
Tano..tembea kwa miguu at least 30minutes kila siku
NB
Hizo 2 za mwanzo zinaweza maliza kabla hatahujaenda hospital kwakua wkt mwingine hormone in balance inachangia sn maumivu sehemu hizo
 
KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO

Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?

Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?

Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?

Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona

Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
Nenda hospita na 1 mil mliganzila kuna sindano wanachoma, nususaa tu baada ya matibabu maumiv yanaisha
 
Kufanya mapenzi ni dawa mojawapo sana ya kiuno na mgongo.
Pili massage hapa napo pazuri mno
Tatu mazoezi
Nne..lala chini. .ukifika home weka mkeka wako lala hapo.
Tano..tembea kwa miguu at least 30minutes kila siku
NB
Hizo 2 za mwanzo zinaweza maliza kabla hatahujaenda hospital kwakua wkt mwingine hormone in balance inachangia sn maumivu sehemu hizo
Nakazia
 
Wewe ongea kwa kusoma kwenye vitabu. Ngoja yaku kute wewe mwenyewe ndio utaona utofauti wa hizo theories za vitabu na uhalisua wa maumivu ambayo hata daktari asome vipi hawezi kuhisi jinsi mgonjwa anavyojisikia. Magonjwa yapo mengi na vyanzo vyake Wala havijulikani na baadhi ya wagonjwa hupona kwa tiba ambazo hazijulikani au hazina scientific proof
Kabisa
 
Kufanya mapenzi ni dawa mojawapo sana ya kiuno na mgongo.
Pili massage hapa napo pazuri mno
Tatu mazoezi
Nne..lala chini. .ukifika home weka mkeka wako lala hapo.
Tano..tembea kwa miguu at least 30minutes kila siku
NB
Hizo 2 za mwanzo zinaweza maliza kabla hatahujaenda hospital kwakua wkt mwingine hormone in balance inachangia sn maumivu sehemu hizo
Sawa
 
Kuna mdogo wangu alitumia dawa za asili now amepona ila alisumbuka sana kama ukihitaji namba zake ntakutumia akuelekeze jinsi alivopata matibabu.
Mkuu naomba msaada wako kaka angu anaugua mno ashatuma dawa za hospital bila mafanikio za kuchoma kwa joint'kumeza dawa za maumivu kuchua kwa umeme hadi kaunguastill ugaonjwa umehamia joint mikononi naomba nisaidie hiyo dawa tafadhali ikiwezekana weka hapa kwa jukwaa watu wote waone
 
Siwezi kuweka namba za ndugu yangu public bila ye kuniruhusu kama unataka namba yake njoo pm ntakupa Sina baya.
 
Wanajukwaa naombeni msaada kwa hili kwa yoyote anisaidie dawa misuli ya joint inakaza sana haswa asubuhi badaa ya sa sa. Nnehivi inaachia kwa aliyewahi kupatwa na hali hii aliponaje?
 
Kama huna maambukizi ya aina yoyote, dawa kubwa ya maumivu ya mgongo na shingo ni kulala katika sehemu ngumu isiyobonyea (mfano sakafu au juu ya mbao)

wengi huumwa na mgongo kutokana na kukaa sana kwenye kiti (mf.dereva au ofisini) na kushindwa kupata unafuu kwani ukishajiumiza kuendelea kulala kwenye godoro unajitesa na hutopata afadhali

Cha kukusaidia, lala chini( kuepuka baridi) tandika shuka jepesi au tandika mkeka na shuka kisha lala kifudifudi, itakusaidia sana ukijitahidi hata siku tano tu utapata afadhali kubwa, ila epuka pia kulalia mto na baada ya kupata afadhali unaweza kuendelea kulala kwenye godoro kama kawaida
 
Back
Top Bottom