Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nilipata hilo tatizo kwa muda mrefu sana hadi nikakata tamaa,nikajiongeza kwa kubadili lifestyle hadi sasa limekwisha kabisa.Nimenunua baiskeli kwa ajili ya mazoezi,napumzika muda wa kutosha lkn nimeachana na vyakula vya sukari na wanga napiga matunda na maji ya kutoshaKWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO
Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?
Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?
Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?
Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona
Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO
Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?
Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?
Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?
Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona
Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
Nakutumia na bei yake kabisa ili ujipime usimtafute daktari kama huna hio hela. Pia kuna sawa nyingine za ku spray na kupaka haziko hapoKWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO
Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?
Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?
Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?
Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona
Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
Ukiongeza na Physiotherapy itakufaa.KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO
Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?
Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?
Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?
Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona
Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
Mshauri afanye physiotherapy pia. Itamuimarisha zaidiMzee wangu alikua anatumia Rubber moja hivi inajazwa maji ya Moto haswa kisha inafungwa alafu unamwekea kiunoni na Moto wake, yeye ule Moto naona ndio ilikua pona yake inakaa hapo kiunoni hadi anapitiwa usingizi akiashtuka maji yamepoa na kiuno kimekaa sawa anameza dawa na dawa zingine nampaka kiunoni then Basi Ila kikubwa kilichomponya ni Rubber ya maji Moto na dawa za kuchua na kumeza sasa hivi yupo safi hatumii tena Rubber
Umempa high doses za cortisol na some high end pain relief agents?ok mkuu nimekujibu PM
Mkuu, ndugu yako ameshapona?Mkuu naomba msaada wako kaka angu anaugua mno ashatuma dawa za hospital bila mafanikio za kuchoma kwa joint'kumeza dawa za maumivu kuchua kwa umeme hadi kaunguastill ugaonjwa umehamia joint mikononi naomba nisaidie hiyo dawa tafadhali ikiwezekana weka hapa kwa jukwaa watu wote waone
Bado ndugu yangu tunajitahidi kutumia dawa kila tunayoambiwa lakini ni kama zinatuliza tu badae tatizo linaanza upya kama kuna solution huko tusaidiane mkuuMkuu, ndugu yako ameshapona?
Mpatie chai ya alkasusi. Ile ni dawa mujarabu kwa ishu za kiuno na mgongo.Bado ndugu yangu tunajitahidi kutumia dawa kila tunayoambiwa lakini ni kama zinatuliza tu badae tatizo linaanza upya kama kuna solution huko tusaidiane mkuu
Kiuno kipone kwa alikasusus pasipo mikando we ulisikia wapiMpatie chai ya alkasusi. Ile ni dawa mujarabu kwa ishu za kiuno na mgongo.
Nilivyojifungua watoto mapacha mwaka huu nilikuwa naumwa Sana kiuno na mgongo. Nikashauriwa nitumie alkasusi. Ndugu wakaninunulia Tanga pakiti sita. Nikawa natumia kama chai yangu asubuhi mchana jioni. Nilipona kabisa. Hadi muda huu nipo fiti, siweki mito na manguo nguo ili kuegemea sehemu yoyote.
Asante kwa ushauri ndugu shukrani kweli kweli tutajaribu na hiyo piaMpatie chai ya alkasusi. Ile ni dawa mujarabu kwa ishu za kiuno na mgongo.