Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kaka Shetani.. ni wewe kweli?Tumia sana calcium kwenye mlo wako.
Mwili upatapo viini lishe hurejea kwenye hali yake.
Ngono na kujichua kupita kiasi ni njia moja wapo ambayo huleta athari baadae.
Jipe muda, epuka ngono/punyeto kwa muda na punguza mtindo mbaya wa maisha, kula vizuri nawe utarejea kwenye hali yako.
Je umekuwa na tabia ya kujichukulia sheria mkononi kila mara? Je ni mpenzi wa kucheza pool? Acha hilo jambo. Usiji one wewe master beseni.KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO
Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?
Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?
Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?
Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona
Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
PoaTumia sana calcium kwenye mlo wako.
Mwili upatapo viini lishe hurejea kwenye hali yake.
Ngono na kujichua kupita kiasi ni njia moja wapo ambayo huleta athari baadae.
Jipe muda, epuka ngono/punyeto kwa muda na punguza mtindo mbaya wa maisha, kula vizuri nawe utarejea kwenye hali yako.
Wewe ongea kwa kusoma kwenye vitabu. Ngoja yaku kute wewe mwenyewe ndio utaona utofauti wa hizo theories za vitabu na uhalisua wa maumivu ambayo hata daktari asome vipi hawezi kuhisi jinsi mgonjwa anavyojisikia. Magonjwa yapo mengi na vyanzo vyake Wala havijulikani na baadhi ya wagonjwa hupona kwa tiba ambazo hazijulikani au hazina scientific proofHizi shida ni mtindo mbovu wa maisha kuanzia ukaaji utembeaji na ulalaji hali kadhalika.
Waafrika hatuna desturi ya kufanya stretching na usingwaji. Muhimu sana haya.
Weka numberKuna mdogo wangu alitumia dawa za asili now amepona ila alisumbuka sana kama ukihitaji namba zake ntakutumia akuelekeze jinsi alivopata matibabu.
Nenda hospita na 1 mil mliganzila kuna sindano wanachoma, nususaa tu baada ya matibabu maumiv yanaishaKWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUHAMISHE HUU UZI UBAKIE HAPA HAPA KWENYE JUKWAA LA HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO
Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?
Ndugu zangu mliowahi kuumwa maumivu ya kiuno au mgongo au viungo vingine mlitumia dawa gani?
Mfano matatizo kama "neuropathic pain, nerve pain, joint pain or Arthritis mliponaje?
Nauliza nipate ushuhuda maana nasumbuliwa na maumivu ya kiuno nilishaenda hosp nikapimwa magonjwa yote Xray ikaonyesha nina shida kwenye mifupa nikapewa dawa aina ya "Pregabalin na meloxican" ndo naendelea kumeza lakini nahisi itachukua muda sana kupona
Ndugu zangu mlopitia hili mlitumia dawa gani au tiba gani?Maana sahv watu wengi tu wanateseka na hili tatzo
NakaziaKufanya mapenzi ni dawa mojawapo sana ya kiuno na mgongo.
Pili massage hapa napo pazuri mno
Tatu mazoezi
Nne..lala chini. .ukifika home weka mkeka wako lala hapo.
Tano..tembea kwa miguu at least 30minutes kila siku
NB
Hizo 2 za mwanzo zinaweza maliza kabla hatahujaenda hospital kwakua wkt mwingine hormone in balance inachangia sn maumivu sehemu hizo
KabisaWewe ongea kwa kusoma kwenye vitabu. Ngoja yaku kute wewe mwenyewe ndio utaona utofauti wa hizo theories za vitabu na uhalisua wa maumivu ambayo hata daktari asome vipi hawezi kuhisi jinsi mgonjwa anavyojisikia. Magonjwa yapo mengi na vyanzo vyake Wala havijulikani na baadhi ya wagonjwa hupona kwa tiba ambazo hazijulikani au hazina scientific proof
SawaKufanya mapenzi ni dawa mojawapo sana ya kiuno na mgongo.
Pili massage hapa napo pazuri mno
Tatu mazoezi
Nne..lala chini. .ukifika home weka mkeka wako lala hapo.
Tano..tembea kwa miguu at least 30minutes kila siku
NB
Hizo 2 za mwanzo zinaweza maliza kabla hatahujaenda hospital kwakua wkt mwingine hormone in balance inachangia sn maumivu sehemu hizo
Mkuu naomba msaada wako kaka angu anaugua mno ashatuma dawa za hospital bila mafanikio za kuchoma kwa joint'kumeza dawa za maumivu kuchua kwa umeme hadi kaunguastill ugaonjwa umehamia joint mikononi naomba nisaidie hiyo dawa tafadhali ikiwezekana weka hapa kwa jukwaa watu wote waoneKuna mdogo wangu alitumia dawa za asili now amepona ila alisumbuka sana kama ukihitaji namba zake ntakutumia akuelekeze jinsi alivopata matibabu.
Siwezi kuweka namba za ndugu yangu public bila ye kuniruhusu kama unataka namba yake njoo pm ntakupa Sina baya.Mkuu naomba msaada wako kaka angu anaugua mno ashatuma dawa za hospital bila mafanikio za kuchoma kwa joint'kumeza dawa za maumivu kuchua kwa umeme hadi kaunguastill ugaonjwa umehamia joint mikononi naomba nisaidie hiyo dawa tafadhali ikiwezekana weka hapa kwa jukwaa watu wote waone
Onhoo nlijua unafaham dawa mkuu ok sawaSiwezi kuweka namba za ndugu yangu public bila ye kuniruhusu kama unataka namba yake njoo pm ntakupa Sina baya.