Diazepam
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,263
- 3,523
Na wale wazee hawajasema neno, sasa anawezaje kuwasikiliza wasio na akili?Ulishaambiwa wenye akili ni wawili tu huko utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wale wazee hawajasema neno, sasa anawezaje kuwasikiliza wasio na akili?Ulishaambiwa wenye akili ni wawili tu huko utopolo
ujinga mtupu. Kuonekana umenunua si kwa sababu ya idadi ya magori, hata goli moja unaweza nunua banaa..!!Juzi wajinga wajinga humu walipost kuwa Simba wamenunua migoli kwa Polisi ili Ntibazonkiza awe mfungaji bora na wakaenda mbali kwa kuitaka bodi kuchunguza, sasa Leo azam kamweka bao 8 0 huyo Polisi na Dube alikuwa ameshaweka mabao 4 nyavuni.
Haya Leo mnasemaje azam kanunua au vp?
Umetumia vigezo gani?Azam ni bora kuliko simba msimu huu
Angalia head to head then ujeUmetumia vigezo gani?