Mliosema Simba alinunua kwa Polisi kumpiga 6, Leo Azam kamkandamiza Polisi 8 0 na Dube kaweka 4 mnasemaje

Mliosema Simba alinunua kwa Polisi kumpiga 6, Leo Azam kamkandamiza Polisi 8 0 na Dube kaweka 4 mnasemaje

Unataka jeshi au mpira hilo ndio swali waliulizwa wajela jela wakaona bora jeshi.
 
Juzi wajinga wajinga humu walipost kuwa Simba wamenunua migoli kwa Polisi ili Ntibazonkiza awe mfungaji bora na wakaenda mbali kwa kuitaka bodi kuchunguza, sasa Leo azam kamweka bao 8 0 huyo Polisi na Dube alikuwa ameshaweka mabao 4 nyavuni.

Haya Leo mnasemaje azam kanunua au vp?
ujinga mtupu. Kuonekana umenunua si kwa sababu ya idadi ya magori, hata goli moja unaweza nunua banaa..!!
 
Sasa mtu ana mwiko nyuma akili atatoa wapi???muwasaidie kuchomoa hilo jimwiko nyuma huko akili zitawarejea.
 
Back
Top Bottom