Mlioshabikia alshabaab...... Kenya's tourism earnings grow to Sh164bn as 2019 arrivals stay above 2m

Wazee wa Kujimwambafai, Njaa inawakamua kila mwaka.

Tungekua na hata robo ya ardhi mlionayo tungeilisha Afrika.....yaani kweli binadamu hupewi vyote, unapewa raslimali za kila aina ila unanyimwa ubongo unakua kama zezeta fulani.....Yaani nyie maskini wa LDC licha ya kuwa na vyote, hebu soma hii list hapa chini nimeikuta sehemu Mtanzania anahoji wapi mlirogwa
---------------------------------

1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki.

2.Tz Kwa miaka 38 imeongozwa na CCM peke yake ambayo ni zao la TANU na ASP.

3.Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa
ya mlipuko kama ebola, mafuriko na vimbunga au ukame.

4.Tz ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho nchi za Afrika zimekikosa. Kitu hicho ni AMANI. Kwa miaka yote 54 ya uhuru haijawahi kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.

5.Tz ina ukubwa wa 945,000 km za mraba yani sawa na uchukuwe Denmark, France, United Kingdom, Netherland, Ireland ujumlishe zote kwa pamoja.

6.Tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa 1,424 km. Bahari inaleta fursa za usafirishaji, uvuvi, utalii na nyinginezo.

7.Tz ni nchi ambayo imepakana na nchi za (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, D. R. Congo) ambazo zinategemea bahari yetu kwa usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu.

8. Tz ina maziwa makubwa manne na mengine madogo mengi.
Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu yote yapo Tanzania. Ziwa Victoria ni la tatu kwa ukubwa duniani (la kwanza Afrika) na ziwa
Tanganyika ni la sita kwa ukubwa (la pili Afrika) na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu duniani. Ziwa Nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani (ni la tatu Afrika).

9.Tz ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto Kagera, mto Ruvuma, mto Rufiji, mto Wami, mto Malagarasi, mto Mara, mto Pangani, mto Ruaha, mto Gombe, mto Mweupe wa Nile na ina mito midogo mengi kama mto Kilombero, mto Mbemkuru n.k

10.Tz ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwa na maji mengi yasio na chumvi yaliyokuwa kwenye uso wa dunia (fresh surface water) kutokana na kuwa
na mito na maziwa mengi na kupitiwa na bonde la ufa.

11.Tz ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika baada ya Afrika Kusini, Ghana na Mali na ipo TOP 20 duniani. Kuna migodi nane inayochimbwa dhahabu na miwili imefungwa. Migodi inayochimbwa ni Buzwagi gold mine- (Shinyanga), Geita gold mine-(Geita), Golden pride gold mine-Nzega (Tabora), Bulyanhulu gold mine- (Shinyanga). New leuka Gold mine- (Mbeya),
Tulawaka gold mine-(Kagera), North mara gold mine-(Mara). Iliyofungwa ni Korandoto gold mine (Shinyanga), Senkenke gold mine-(Shinyanga???).

12.Tz ina madini ya almasi yanayopatikana Mwadui Shinyanga. Mgodi huo ulianza kuchimbwa tangu mwaku 1940. Mpaka leo bado unachimbwa, unamilikiwa na kampuni ya Waingereza.

13.Tz ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee inayozalisha madini ya tanzanite duniani. Mkufu wa kuvaa shingoni unatengenezwa na tanzanite na almasi unauzwa hadi shilingi milioni 25 za Kitanzania.

14.Tz ina madini ya chuma yanayopatikana Mchuchuma, Ludewa- Njombe mgodi unamilikiwa na Wachina. Mgodi huo una hifadhi ya madini ya chuma tani milioni 122 ambayo yanawezwa kuchimbwa kwa zaidi ya miaka 100.

15.Tz ina madini ya makaa ya mawe (Coal) yanayochimbwa Kiwira Mbeya, Mchuchuma na
Liganga Njombe. Unamilikiwa na Wachina. Pia mgodi wa Ngaka kule Mbinga-Ruvuma unamilikiwa na
kampuni ya Tancoal ya Australia. Hifadhi ya madini ya makaa ya mawe iliyopo ni tani bilioni 2. Makaa ya mawe ndio chanzo cha pili cha umeme wa bei nafuu duniani baada ya maji.

16.Tz ina hifadhi ya madini ya Uranium kule Dodoma (Bahi) na ni mgodi ambao unamilikiwa na
Warusi. Pia madini haya yanapatikana Namtumbo (Mkuju), Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba and Nachingwea.

17.Tz ni moja ya nchi tatu Afrika zikiwemo Zimbabwe na Madagascar kwa kuwa na madini mengi ya graphite. Madini haya yapo Tanga, Mahenge-Morogoro, Mererani- Manyara. Madini ya graphite ndiyo yanayotumika
kutengenezea betri za simu, kwenye injini na brake za magari na kwenye karamu za risasi (pencili).

18.Tz ina madini ya nickel yanayopatikana kule Kabanga Kagera, milima ya Uluguru-Morogoro, North Mara, Ngasoma-Mwanza.

19.Tz ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya magadi soda duniani baada ya Marekani na Uturuki. Magadi soda hutumika kutengeneza vioo vya aina zote. Vioo vya nyumbani hadi magari pia kutengeneza sabuni na dawa mbalimbali za usafi.

20.Tz ina hifadhi na mgodi wa madini ya niobium uliopo Panda hill Mbeya ambao ndio utakuwa mgodi mkubwa wa kwanza Afrika na wa nne duniani. Mgodi huu unamilikiwa na kampuni ya Australia. Madini ya niobium ni magumu sana
hutumika kutengeneza mabomba pamoja na madini chuma pia hutumika kutengeneza baadhi ya sehemu za injini za ndege na vyombo vinavyoenda nje ya uso wa dunia (mfano Apollo 15 CSM), vioo vya computer na lenzi za camera.

21.Tz ni nchi ya kwanza Afrika na ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii. Ya
kwanza ni Brazil. Nchi zilizokuwa kwenye tano bora kwa utalii Afrika ni Tanzania, Botswana, Afrika Kusini, Kenya na Zambia.

22.Tz ina mbuga zipatazo 16 na ile mbuga maarufu kuliko zote duniani Serengeti ipo Tanzania, mbuga iliyopakana na bahari iitwayo Saadani ipo Tanzania na mlima mrefu kuliko wote Africa Kilimanjaro upo Tanzania.

24. Tz ina ardhi kubwa yenye rutuba na inayofaa kwa kilimo cha mazao mengi tofauti tofauti. Mashamba makubwa ya mpunga kwa mfano yaliyokuwa chini ya Shirika la NAFCO yalitoa mazao ya kulisha Tanzania na pia nchi nyingine.

24.Tz ina gesi ya asili ya Carbon Dioxide (CO2) inayovunwa kule Kyejo, Rungwe-Mbeya na kampuni ya TOL. Gesi ya asili ya cardon dioxide inatumika sana kutengenezea vinywaji laini kama soda, bia na pia kutengenezea madawa, makaratasi na kutibia maji (water treatment).

25.Tz ina gesi ya asili inayopatikana katika kisiwa cha Songo songo mkoa wa Lindi. Gesi hii imekuwa ikichimbwa na kusafirishwa hadi Dar es salaam tangu mwaka 2004. Inamilikiwa na kampuni ya Songas ya Uingereza.

26.Tz imengundua gesi ya asili yenye zaidi ya meta za ujazo trilioni 55.3 iliyongunguliwa katika maeneo ya bahari ya Hindi na Mtwara.

Pamoja na sifa zote hizi lakini Tz ni nchi iliyo kwenye kundi la nchi maskini duniani ambayo asilimia kubwa ya raia wake wanaishi chini ya Dola moja za Marekani na hali ya huduma za kijamii ikiwa duni.

TATIZO NI NINI? NANI ANAFAIDI HUU UTAJIRI? NANI WA KUMLAUMU? NANI NI SABABU?
KWA NINI TUNASHINDWA KUTUMIA HUU UTAJIRI?

Na hapo bado tunawaachia mle pesa za mlima kilimanjaro mnaotangaza uko kwenu sijui wakenya mnakwama wapi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa majirani zetu hapo Mtu hata akivuka border tu kwenda nunua mirungi na kurudi akigongesha passport tu bhas anaingia kwenye record kama tourist/mgeni. Ndio maana data zao za utalii zinawachanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatuwezi tukahesabu mamilioni ya Watanzania wanaokuja huku maana wengi wenu ni omba omba hamna faida yoyote mnayotuletea ila hasara tu kwenye uchumi wetu mkubwa, ona hii video mlivyo

IMG_7295.JPG

[emoji2], UAE ni nchi ya Jangwa 100% ila imekuwa msaada mkubwa kwa Kenya, Imekuwa ikijitolea misaada ya Chakula kuokoa watoto wenu, wake zenu na nyie msiangamie kwa njaa, Elimu yenu imewasaidia nini? Imefika hatua sasa Rais amelazimika kusafiri nchi mbalimbali kuomba chakula na tumeona Uchina, Russia na US wakiwasaidia japo mna ziwa Victoria na Vyanzo vingi vya maji na Ardhi yenye rutuba wamenyakua wazungu wanalima maua na chai na kuuza ulaya na Marekani. Uhuru Kenyata pekee anamiliki Ardhi kubwa kutosha 40% ya wakenya,

Halafu hii ardhi yaTanzania ndio imefanya pia tunawalisha na tunaokoa kizazi chenu kisiangamie, unfortunately, I wonder instead of saying thank you unatukana anaekulisha [emoji2][emoji2]
Huna shukrani
 
View attachment 1320468

[emoji2], UAE ni nchi ya Jangwa 100% ila imekuwa msaada mkubwa kwa Kenya, Imekuwa ikijitolea misaada ya Chakula kuokoa watoto wenu, wake zenu na nyie msiangamie hapo, Elimu yenu imewasaidia nini?

Halafu hii ardhi yaTanzania ndio imefanya pia tunawalisha na tunaokoa kizazi chenu kisiangamie, unfortunately, I wonder instead of saying thank you unatukana anaekulisha [emoji2][emoji2][emoji2]

UAE oil reserve ni 98.63 billion barrels, wana utajiri mara elfu mia moja yenu, per capita yao ni 40,698.85 USD ilhali Bongo mnatesekea kwenye per capita 936.33 USD pamoja na raslimali zote mlizo nazo.
Utajiri wao wa mafuta unawapa jeuri kwamba kwenye jangwa hiyo wanamwaga hela kunalimwa kwa mifumo ya kisasa.
Sisi juzi tu ndio tumepata mafuta, ila bila raslimali, na zaidi ya nusu ya nchi yetu ni jangwa tupu lakini uchumi wetu unakaribia kuwa mara mbili yenu na liinchi lote hilo lenye kila kitu ikiwemo madini.
 
Mimi sitaki kusikia hiyo nusu ambayo ni Jangwa, Nataka kusikia hii nusu ambayo ni fertile na Mmenyanganywa na Wazungu wanalima maua na Chai na kuwaacha maelfu ya wakenya wakifa njaa,
Kumbuka familia ya Kenyatta pekee inamiliki Ardhi ya Kutosha wakenya milioni 20, nyie si ni mazuzu kabisa?
IMG_2958.JPG
 
View attachment 1320499

Wewe nani nihangaike na unachotaka kuskia, cha msingi ni kwamba Kenya kainchi kadogo nusu ya liinchi lenu, na zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame tupu, lakini tunawakalisha na liinchi lenu ambalo full madini kote kote, tatizo mlirogewa uzembe, mumetujazia omba omba huku hadi kero.
 
Unakwepa swali langu kwa kurukiarukia vitu vingine,
Unadhani ni Kwa nini Kenya bado inategemea misaada ya Chakula miaka karibu 60 ya uhuru?
 
Kenya haitegemei misaada ya chakula maana hela tunazo za kuweza kununua chakula na kuwalisha hata hawa omba omba mliotujazia huku.
Ni ile tu zaidi ya kainchi ketu ni kame, hivyo muda mwingi tunalazimika kununua chakula.
Nenda kajifunze nini maana ya neno 'kutegemea', nina uhakika utapata maana pale utakuta bajeti yenu 'inategemea' misaada, mnashindwa kuimudu yote kama ilivyo.
 
Tungekua na hata robo ya ardhi mlionayo tungeilisha Afrika.....yaani kweli binadamu hupewi vyote, unapewa raslimali za kila aina ila unanyimwa ubongo unakua kama zezeta fulani.....Yaani nyie maskini wa LDC licha ya kuwa na vyote, hebu soma hii list hapa chini nimeikuta sehemu Mtanzania anahoji wapi mlirogwa
---------------------------------

1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki.

2.Tz Kwa miaka 38 imeongozwa na CCM peke yake ambayo ni zao la TANU na ASP.

3.Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa
ya mlipuko kama ebola, mafuriko na vimbunga au ukame.

4.Tz ni nchi ambayo imekuwa na kitu ambacho nchi za Afrika zimekikosa. Kitu hicho ni AMANI. Kwa miaka yote 54 ya uhuru haijawahi kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.

5.Tz ina ukubwa wa 945,000 km za mraba yani sawa na uchukuwe Denmark, France, United Kingdom, Netherland, Ireland ujumlishe zote kwa pamoja.

6.Tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa 1,424 km. Bahari inaleta fursa za usafirishaji, uvuvi, utalii na nyinginezo.

7.Tz ni nchi ambayo imepakana na nchi za (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, D. R. Congo) ambazo zinategemea bahari yetu kwa usafirishaji wa mizigo na ni fursa nzuri ya kuzipelekea bidhaa za viwanda vyetu.

8. Tz ina maziwa makubwa manne na mengine madogo mengi.
Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu yote yapo Tanzania. Ziwa Victoria ni la tatu kwa ukubwa duniani (la kwanza Afrika) na ziwa
Tanganyika ni la sita kwa ukubwa (la pili Afrika) na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu duniani. Ziwa Nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani (ni la tatu Afrika).

9.Tz ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto Kagera, mto Ruvuma, mto Rufiji, mto Wami, mto Malagarasi, mto Mara, mto Pangani, mto Ruaha, mto Gombe, mto Mweupe wa Nile na ina mito midogo mengi kama mto Kilombero, mto Mbemkuru n.k

10.Tz ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwa na maji mengi yasio na chumvi yaliyokuwa kwenye uso wa dunia (fresh surface water) kutokana na kuwa
na mito na maziwa mengi na kupitiwa na bonde la ufa.

11.Tz ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu Afrika baada ya Afrika Kusini, Ghana na Mali na ipo TOP 20 duniani. Kuna migodi nane inayochimbwa dhahabu na miwili imefungwa. Migodi inayochimbwa ni Buzwagi gold mine- (Shinyanga), Geita gold mine-(Geita), Golden pride gold mine-Nzega (Tabora), Bulyanhulu gold mine- (Shinyanga). New leuka Gold mine- (Mbeya),
Tulawaka gold mine-(Kagera), North mara gold mine-(Mara). Iliyofungwa ni Korandoto gold mine (Shinyanga), Senkenke gold mine-(Shinyanga???).

12.Tz ina madini ya almasi yanayopatikana Mwadui Shinyanga. Mgodi huo ulianza kuchimbwa tangu mwaku 1940. Mpaka leo bado unachimbwa, unamilikiwa na kampuni ya Waingereza.

13.Tz ni nchi ya kwanza na ni nchi pekee inayozalisha madini ya tanzanite duniani. Mkufu wa kuvaa shingoni unatengenezwa na tanzanite na almasi unauzwa hadi shilingi milioni 25 za Kitanzania.

14.Tz ina madini ya chuma yanayopatikana Mchuchuma, Ludewa- Njombe mgodi unamilikiwa na Wachina. Mgodi huo una hifadhi ya madini ya chuma tani milioni 122 ambayo yanawezwa kuchimbwa kwa zaidi ya miaka 100.

15.Tz ina madini ya makaa ya mawe (Coal) yanayochimbwa Kiwira Mbeya, Mchuchuma na
Liganga Njombe. Unamilikiwa na Wachina. Pia mgodi wa Ngaka kule Mbinga-Ruvuma unamilikiwa na
kampuni ya Tancoal ya Australia. Hifadhi ya madini ya makaa ya mawe iliyopo ni tani bilioni 2. Makaa ya mawe ndio chanzo cha pili cha umeme wa bei nafuu duniani baada ya maji.

16.Tz ina hifadhi ya madini ya Uranium kule Dodoma (Bahi) na ni mgodi ambao unamilikiwa na
Warusi. Pia madini haya yanapatikana Namtumbo (Mkuju), Galapo, Minjingu, Mbulu, Simanjiro, Lake Natron, Manyoni, Songea, Tunduru, Madaba and Nachingwea.

17.Tz ni moja ya nchi tatu Afrika zikiwemo Zimbabwe na Madagascar kwa kuwa na madini mengi ya graphite. Madini haya yapo Tanga, Mahenge-Morogoro, Mererani- Manyara. Madini ya graphite ndiyo yanayotumika
kutengenezea betri za simu, kwenye injini na brake za magari na kwenye karamu za risasi (pencili).

18.Tz ina madini ya nickel yanayopatikana kule Kabanga Kagera, milima ya Uluguru-Morogoro, North Mara, Ngasoma-Mwanza.

19.Tz ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na hifadhi kubwa ya magadi soda duniani baada ya Marekani na Uturuki. Magadi soda hutumika kutengeneza vioo vya aina zote. Vioo vya nyumbani hadi magari pia kutengeneza sabuni na dawa mbalimbali za usafi.

20.Tz ina hifadhi na mgodi wa madini ya niobium uliopo Panda hill Mbeya ambao ndio utakuwa mgodi mkubwa wa kwanza Afrika na wa nne duniani. Mgodi huu unamilikiwa na kampuni ya Australia. Madini ya niobium ni magumu sana
hutumika kutengeneza mabomba pamoja na madini chuma pia hutumika kutengeneza baadhi ya sehemu za injini za ndege na vyombo vinavyoenda nje ya uso wa dunia (mfano Apollo 15 CSM), vioo vya computer na lenzi za camera.

21.Tz ni nchi ya kwanza Afrika na ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii. Ya
kwanza ni Brazil. Nchi zilizokuwa kwenye tano bora kwa utalii Afrika ni Tanzania, Botswana, Afrika Kusini, Kenya na Zambia.

22.Tz ina mbuga zipatazo 16 na ile mbuga maarufu kuliko zote duniani Serengeti ipo Tanzania, mbuga iliyopakana na bahari iitwayo Saadani ipo Tanzania na mlima mrefu kuliko wote Africa Kilimanjaro upo Tanzania.

24. Tz ina ardhi kubwa yenye rutuba na inayofaa kwa kilimo cha mazao mengi tofauti tofauti. Mashamba makubwa ya mpunga kwa mfano yaliyokuwa chini ya Shirika la NAFCO yalitoa mazao ya kulisha Tanzania na pia nchi nyingine.

24.Tz ina gesi ya asili ya Carbon Dioxide (CO2) inayovunwa kule Kyejo, Rungwe-Mbeya na kampuni ya TOL. Gesi ya asili ya cardon dioxide inatumika sana kutengenezea vinywaji laini kama soda, bia na pia kutengenezea madawa, makaratasi na kutibia maji (water treatment).

25.Tz ina gesi ya asili inayopatikana katika kisiwa cha Songo songo mkoa wa Lindi. Gesi hii imekuwa ikichimbwa na kusafirishwa hadi Dar es salaam tangu mwaka 2004. Inamilikiwa na kampuni ya Songas ya Uingereza.

26.Tz imengundua gesi ya asili yenye zaidi ya meta za ujazo trilioni 55.3 iliyongunguliwa katika maeneo ya bahari ya Hindi na Mtwara.

Pamoja na sifa zote hizi lakini Tz ni nchi iliyo kwenye kundi la nchi maskini duniani ambayo asilimia kubwa ya raia wake wanaishi chini ya Dola moja za Marekani na hali ya huduma za kijamii ikiwa duni.

TATIZO NI NINI? NANI ANAFAIDI HUU UTAJIRI? NANI WA KUMLAUMU? NANI NI SABABU?
KWA NINI TUNASHINDWA KUTUMIA HUU UTAJIRI?

Wewe ng'ombe Israel 65% Ni jangwa na wanauza sana matunda na mboga nje ya nchi now tell me mlitaka Kenya iweje ilhali hata chakula chenu hakiwatoshi,lame excuse huna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya haitegemei misaada ya chakula maana hela tunazo za kuweza kununua chakula na kuwalisha hata hawa omba omba mliotujazia huku.
Ni ile tu zaidi ya kainchi ketu ni kame, hivyo muda mwingi tunalazimika kununua chakula.
Nenda kajifunze nini maana ya neno 'kutegemea', nina uhakika utapata maana pale utakuta bajeti yenu 'inategemea' misaada, mnashindwa kuimudu yote kama ilivyo.

Kwenye hicho kidogo mnalima nini? Show me plantations mlizonazo
 
Wewe ng'ombe Israel 65% Ni jangwa na wanauza sana matunda na mboga nje ya nchi now tell me mlitaka Kenya iweje ilhali hata chakula chenu hakiwatoshi,lame excuse huna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app

Mabilionea wa Marekani na duniani kote wengi ni Wayahudi, huwekeza sana Israel, hivyo wana jeuri hiyo ya kumwaga hela kwenye jangwa na kuwekeza kwenye kilimo cha unyunyizaji
Lakini nyumbu za Kiafrika unakuta nchi kubwa yenye rotuba kila mahali, madini, vivutio bora vya utalii lakini maskini wa kutupwa.
 
In other words unakiri kwamba wakenya ni Mafukara hoehae na pia mambumbumbu
 
Mabilionea wa Marekani na duniani kote wengi ni Wayahudi, huwekeza sana Israel, hivyo wana jeuri hiyo ya kumwaga hela kwenye jangwa na kuwekeza kwenye kilimo cha unyunyizaji
Lakini nyumbu za Kiafrika unakuta nchi kubwa yenye rotuba kila mahali, madini, vivutio bora vya utalii lakini maskini wa kutupwa.
Je hii ni kweli au si kweli?
tapatalk_1578844814230.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom