Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Kwahiyo huko kwao kenya hakunaga hata wapinzan ambao wanaweza hata anzisha movement ili kurudisha mashamba hayo kwa wananchiHawezi kukujibu[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huko kwao kenya hakunaga hata wapinzan ambao wanaweza hata anzisha movement ili kurudisha mashamba hayo kwa wananchiHawezi kukujibu[emoji2]
Duru za kuaminika zinadai kuwa 😂😂😂
Bila shaka umekubali nyie ni mamburula, mazezeta na manyumbu kwa kuwa na kila raslimali ila maskini wa kutupwa hadi mumetujazia maelfu ya omba omba kila mahali, wavivu sana nyie, mumeshindwa kutumia ubongo na kufanya kazi, mpo mpo tu hovyoo heheheIn other words unakiri kwamba wakenya ni Mafukara hoehae na pia mambumbumbu
Acha kuwaita ombaomba hao ni watalii bana mbona ombaomba mkuu Uhuru Kenyatta anapoenda kutalii Kwa kuomba misosi dunia nzima wekenya mnafurahi baba Uhuru kaleta misosiHatuwezi tukahesabu mamilioni ya Watanzania wanaokuja huku maana wengi wenu ni omba omba hamna faida yoyote mnayotuletea ila hasara tu kwenye uchumi wetu mkubwa, ona hii video mlivyo