Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

Hakika sisi tutairithi ardhi na walio juu yake. Na kwetu watarejeshwa.19:40. Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, awe Nabii. 19:53
Katika Kitabu Cha Quar'ani, Mwenyezi Mungu anaposema anatumia wingi ona
Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Mwenyezi Mungu humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima 14:4.
Na tulimtuma Musa pamoja na miujiza yetu, tukamwambia: Watoe watu wako kwenye giza uwapeleke kwenye mwangaza. Na uwakumbushe siku za Mwenyezi Mungu. Hakika katika hayo zipo ishara kwa kila mwenye kusubiri akashukuru 14:5.

Na mtaje Musa katika Kitabu. Hakika yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii. 19:51.
Na tulimwita upande wa kulia wa mlima na tukamsogeza kunong'ona naye19:52.
Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, awe Nabii"19:53


JE, umewahi kujiuliza ni kwa nini?
 
​Ndo ujue mawazo ya waTZ walivyofinyu. Ukiangalia swali langu na majibu yaliyotolewa utashangaa kweli. Naona wengi walio JF wana ufinyu mkubwa wa uelewa. Nasema hivyo kwa kuzingatia majibu yaliyotolewa kwenye uzi huu. Inasikitisha!!
 
Asante kwa kuliona hilo.

Kwa kweli miezi imepita tangu nitoe uzi huu lakini hakuna hata mmoja aliyenijibu sawasawa. Nashukuru sana kwa mchango wako. Hapa ndo ujue jinsi watu walivyo duni katika uelewa. Sijui kama tutafika tunakoenda!!! Asante sana..
 

kweny hyoo logic ya mungu mmoja upo sawa kabisa
 
Yohana 17:3 'Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfahamu Yesu Kristo ambaye umemtuma!
pamoja na kwamba umeonekana kufanya nukuu ya Biblia vizuri soma yohane sura ya kwanza kuhusu NENO ambaye ni Mungu aliyechukua hali ya ubinadamu. zaidi soma kuhusu utatu mtakatifu utaelewa vizuri. Angalia hata katika kitabu cha mwanzo Mungu anasema na TUMUUMBE mtu kwa mfano WETU. Nadhani hii kidogo itakusaidia
 
Sasa Mleta Mada Kauliza Mengine, Wehu Wamekuja Na Mengine, Mi Nafuatilia Uzi Huu Ili Nipate Majibu Sio Huu Utumbo Mnaoteletea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…