okaoni
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 1,471
- 1,303
Kama kizazi cha sasa kingekuwa ndio kimepokea hizi dini kuna mabadiliko makubwa ambayo yamebeba tamaduni za kale za hizi dini zilipoanzia hazingekuwepo. mfano ,suala la uvaaji wa kanzu kwa wote wakristo na waislamu lisingekuwepo maana huo ni utamaduni wa mashariki ya kati,suala la kukaachini kwenye nyumba za ibada lisenge kuwepo kwani hizo ni mila za waarabu,wachina ,wajapani na hata wahindi,maneno kama mkate,divai.tende yasingekuwepo kwenye biblia na msaafu kwa sababu ni vyakula vya asili huko middle east,suala la mwanamke lingekuwa tofauti na ilivyo sasa kwani kutokana na ustaarabu ulivyoendelea duniani wanderuhusiwa kuwa viongozi wa dini, aya kalikali zinazoenda kinyume na haki za binaadamu kama jino kwa jino,visasi (kutibahaley kum ill kisas) zisingekuwepo kwenye vitabu,maneno kama computer,internet,yangekuwepo kwenye vitabu hivyo na kungekuwepo kipengele cha amendment pale ambapo sehemu fulani ya maandiko inapitwa na wakatiHivi ingekuwaje kama kizazi cha sasa ndio kingekuwa cha kwanza kupokea hizi dini direct? Manake tumeletewa lakini, mmh?
Na kwa nini tunakosa ujasiri wa kuchukuliana na kuacha kila mtu aamini atakacho?