Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?

Hivi ingekuwaje kama kizazi cha sasa ndio kingekuwa cha kwanza kupokea hizi dini direct? Manake tumeletewa lakini, mmh?

Na kwa nini tunakosa ujasiri wa kuchukuliana na kuacha kila mtu aamini atakacho?
Kama kizazi cha sasa kingekuwa ndio kimepokea hizi dini kuna mabadiliko makubwa ambayo yamebeba tamaduni za kale za hizi dini zilipoanzia hazingekuwepo. mfano ,suala la uvaaji wa kanzu kwa wote wakristo na waislamu lisingekuwepo maana huo ni utamaduni wa mashariki ya kati,suala la kukaachini kwenye nyumba za ibada lisenge kuwepo kwani hizo ni mila za waarabu,wachina ,wajapani na hata wahindi,maneno kama mkate,divai.tende yasingekuwepo kwenye biblia na msaafu kwa sababu ni vyakula vya asili huko middle east,suala la mwanamke lingekuwa tofauti na ilivyo sasa kwani kutokana na ustaarabu ulivyoendelea duniani wanderuhusiwa kuwa viongozi wa dini, aya kalikali zinazoenda kinyume na haki za binaadamu kama jino kwa jino,visasi (kutibahaley kum ill kisas) zisingekuwepo kwenye vitabu,maneno kama computer,internet,yangekuwepo kwenye vitabu hivyo na kungekuwepo kipengele cha amendment pale ambapo sehemu fulani ya maandiko inapitwa na wakati
 
Hahaaa hahaa nacheka tu michango ya watu hapa, wameanza kama vile wanakwepa kujiingiza katika hoja hii kidini, mwisho wa siku wamezama tenakwa mahubiri makuu.

Na hao ni watu wa kundi fulani,ukikagua utaona ni nani alieanza kuleta mistari ya dini yao,watu hawa ni tabu sana!
 
Kwa hiyo yesu ni mungu?? Na maria ni nani kwa maana hiyo?? Na yusufu je??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapana. Dini zimekuwapo kwa miaka mingi. Ndo maana hata serikali iliwatambua watu na dini zao ingawa haina dini. Mahakamani utaandika wewe ni dini gani. Kuhubiri ni kazi yao mapadri na mashehe. Tatizo ni aina ya mahubiri. Pia logic ya Mungu mmoja ni uongo mkubwa.

Inawezekana kuna miungu wengine,kwani nchi kama India kuna Mungu panya,kima,nyoka nk sasa inategemea wewe una Mungu wangapi

Lakini hoja hapa ilikuwa kuhusu chuki kwa dini nyengine sio kuhusu Miungu,nchi kama India kila mtu anaheshimu dini ya wengine,na kama dini yako ni sawa kwanini uanze kupiga vita dini nyengine, sioni sababu

kama mimi namuabudu kinyamkera chini ya mbuyu nataka niheshimiwe hivyo na wewe unaemuabudu Allah au yesu, na sitaonza kutafuta CD za mashehe wenu au Mapadri wenu wanasema nini kuhusu dini yangu,kwani hayo ni mawazo yao sio yangu

"tactic" mfumo wa kuongea bila kumuudhi mtu,umeshawahi kuwasikia hawa jamaa wanaoitwa Freemason kujibu tuhuma wanazopewa na Dini nyengine, sasa jiulize kwanini hawa watu hawajibu mapigo.....jibu kwasababu wanakiamini kile walichokuwa nacho

Hate is hate if it is from Islam or Kristian,and hate is a bad thing,keep that in mind Brother
 
[h=2]Mliosikiliza cd ya askofu mpemba tujulisheni ina uchochezi gani?[/h]
Tafadhali swali la msingi hapa ni kama lilivyoulizwa jamani
 
Na hao ni watu wa kundi fulani,ukikagua utaona ni nani alieanza kuleta mistari ya dini yao,watu hawa ni tabu sana!

Watashindana hawatashinda!....hili jina Yesu,kuzim wenyewe wanajua ni hatariiiii,so tusibishane nao,tuwaombee!
 
Yohana 16:1-4....maneno hayo nimewaambia,msije mkachukizwa.Watawatenga na masinagogi,naam, SAA YAJA ATAKAPODHANIA KILA MTU AWAUAYE YA KUWA ANAMTOLEA MUNGU IBADA.NA HAYO WATAWATENDA KWA SABABU HAWAKUMJUA BABA WALA MIMI.LAKINI NIMEWAAMBIA HAYO,ILI MAKUSUDI SAA ILE ITAKAPOKUJA MYAKUMBUKE YA KUWA MIMI NILIWAAMBIA.ssikuwaambia hayo tangu mwanzo,kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.
 
Ukweli unapotoshwa kuhusu shekh ilunga.kila alichokisema kinaushahidi.alitoa hoja ya serikali kuwapa wakristo pesa kupitia mkataba wa memorandum of understand?na maaskofu walikiri hilo siku ya mkesha wa chrismas.
 
Kwa hiyo yesu ni mungu?? Na maria ni nani kwa maana hiyo?? Na yusufu je??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wote walikuwa mungu tehe tehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
unajua kuna jambo moja ambalo wahbiri dini wanasahau kwamba mtu amezaliwa katika dini fulani akakuwa akifundishwa kwamba dini yake ndio iliyo sahihi na kwamba dini nyingine zote sio sahihi. Leo mtu huyo kawa mtu mzima unamwambia vinginevyo atakuelewa kirahisi? Kwa hiyo ni vizuri tu mtu uelewe kwamba ukimuona mtu anatokwa povu kwa kuhubiri dini yake ni kwa sababu ameikulia hiyo!! Nenda nae taratibuunapomshawishi ajiunge nawe!! usitumie nguvu sababu haikusaidii wewe wala yeye. Ukishindwa kumshawishi mwache alivyo tena kwa amani kabisa. hii ndiyo inaitwa religious tolerance
 
Du! Tukisema watu wengine vilaza tunaonekana tunayo matatizo hivi nani anauhakika na mungu wake! Kwanza ieleweke hakuna Mungu mmoja! Then tuishi kwa upendo! Anayedhani kuna jipya anajidanganya haihitaji elimu kubwa kuujua ukweli. Hivi nyie mnaijua Sodoma na gomora.! Ingeandikwa ufunuo wala nisinge iongelea. Ila kama wale watu walipata kuishi basi hakika hakitatokea kizazi chenye maovu kama kile. Tupendane ndugu, jiulize swali hivi kama Tungejua tukifa tunaenda wapi ingekuwaje. Naaaaam peace and love bandugu
 
Inawezekana kuna miungu wengine,kwani nchi kama India kuna Mungu panya,kima,nyoka nk sasa inategemea wewe una Mungu wangapi

Lakini hoja hapa ilikuwa kuhusu chuki kwa dini nyengine sio kuhusu Miungu,nchi kama India kila mtu anaheshimu dini ya wengine,na kama dini yako ni sawa kwanini uanze kupiga vita dini nyengine, sioni sababu

Mimi nimejibu hoja kama ilivyoletwa. wewe umesoma jibu na kujaa mapovu ingawa umefafanua kile nilichokisema!
 
Inasikitisha sana kuona Tanzania inavyoathiriwa na udini.

Walijua tu ukabila hauwezi kututenga kwa vile makahila ni mengi, sasa wametupata hapa kwenye dini. INASIKITISHA.
 
Biblia haisemi hivyo.

Yohana 14:6

[SUP]6 [/SUP]Yesu akawaambia, “Mimi ndimi Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.
sawa ni kweli njia lakini kwa wana wa israel siyo mruguru wala mmakonde wa tanzania,join to islam
 
Binafsi nimejionea DVDS nyingi sana ambazo zimekuwa zikiuzwa kama njugu katika nchi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukiziangalia DVDS hizo unapata taabu kuamini kama vyombo vya dola kweli viko kazini. Matusi juu ya matusi, vitisho juu ya vitisho na mbaya zaidi kuna maonesho ya Wakristu kuchinjwa huku wachinjaji wakitaja jina la mungu wao.

Nahangaika sana kuona ukimya wa Serikali kuendelea kwa muda wote huo wakati funzo kubwa katika DVDS hizo lilikuwa ni watu kuchinja Wakristu. Nimesikia juu juu tu kuwa hii cd ya Askofu Mpemba inafundisha Wakristu kuchinja kuku, bata na wanyama na si kuchinja watu.

Mlioisikia naomba mnisaidie hapa, hivi ina maneno yepi ya uchochezi gani ndani yake? Naambiwa pia haikurekodiwa na Askofu peke yake... cd hiyo ya kuchinja wanyama na ndege nimepashwa kuwa inakatazwa isionekane wakati hizi za wachinja watu ziko mtaani...... hapo patamu Tanzania!!
Ni kizunguzunguzu au kizungumkuti hiki?
Aliyenayo anibonyeze nami niisikilize hata kama ni kwa kujificha chooni...
tupatie kwanza hiyo uliyonayo ya kuwachinja wakristo
 
Biblia haisemi hivyo.

Yohana 14:6

[SUP]6 [/SUP]Yesu akawaambia, “Mimi ndimi Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.

Kwani unapoenda office yoyote si kuna sehemu ya mapokezi?
 
Du! Tukisema watu wengine vilaza tunaonekana tunayo matatizo hivi nani anauhakika na mungu wake! Kwanza ieleweke hakuna Mungu mmoja! Then tuishi kwa upendo! Anayedhani kuna jipya anajidanganya haihitaji elimu kubwa kuujua ukweli. Hivi nyie mnaijua Sodoma na gomora.! Ingeandikwa ufunuo wala nisinge iongelea. Ila kama wale watu walipata kuishi basi hakika hakitatokea kizazi chenye maovu kama kile. Tupendane ndugu, jiulize swali hivi kama Tungejua tukifa tunaenda wapi ingekuwaje. Naaaaam peace and love bandugu

Hakika Mwenyezi mungu alimteuwa Adam na Nuhu na ukoo wa Ibrahim na ukoo wa Imran juu ya walimwengu wote. Qur'an3:33

Ni wazao wao kwa wao; na Mwenyezi mungu ni mwenye kusikia na mwenye kujua. Qur'an 3:34
 
Hivi ninyi ndugu mlioanza kuleta hoja za Yesu hivi na vile, nanyi mlioingiza Muhammada hivi na vile ndio m-memjibu mleta hoja?
Haishangazi matoleo ya mtihani wa sekondari asilimia 90 wamefeli!
 
Back
Top Bottom