City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Ilitufundisha kusocialize sana...Acha kabisa waombaji hawakosiiii.. Nami siku nikidorora natolea jicho kwa wenzangu lol Yani jumapili nikitoroka siku nzima sili chakula cha shule hahahahaha.......boarding gvt schools bana
Cc Smart911
Form one tulikuwa na watoto toka Greenacres, Arusha modern na the likes..walikuwa wachoyo sana kiasi cha maandazi yao (wanayoletewa wakitembelewa) kuozea ndani ya matranka..lakini in time wakaja kubadilika wakawa wanashare tu vitu fresh...