Mliosoma mashule ya international hebu mkuje hapa tuwafundishe hizi mambo

Mliosoma mashule ya international hebu mkuje hapa tuwafundishe hizi mambo

Sawa private school zimejaa mashoga kibao
James delicious unamjua??
Unajua kasoma shule gani??
Ile ni product ya government school tena olevel kasomea musoma...

Nyie watu wa government mmesoma kwa shida sasa mnatumia ile inferiority complex yenu kutuchukia sisi tuliosoma private..

Nakishauri ukaze sana mtoto wako asipate taabu kama ulizopata wewe za kubeba vidum na mifagio
 
Maisha ya kipumbavu sana hayo halafu kuna watu wanaona ni ushujaa. Kusoma sio vita, ila hayo maisha ni ujinga mtupu. Hapo sijui kunakuwa kunafundishwa maisha ya namna gani
 
Back
Top Bottom