Mliosoma mashule ya international hebu mkuje hapa tuwafundishe hizi mambo

Acha kabisa waombaji hawakosiiii.. Nami siku nikidorora natolea jicho kwa wenzangu lol Yani jumapili nikitoroka siku nzima sili chakula cha shule hahahahaha.......boarding gvt schools bana


Cc Smart911
Ilitufundisha kusocialize sana...
Form one tulikuwa na watoto toka Greenacres, Arusha modern na the likes..walikuwa wachoyo sana kiasi cha maandazi yao (wanayoletewa wakitembelewa) kuozea ndani ya matranka..lakini in time wakaja kubadilika wakawa wanashare tu vitu fresh...
 
Sidhani kama umefanya utafiti wa kutosha, mwanafunzi wa gvt school mwenye div I na yule wa private school mwenye div I, wana tofauti kibwa kwenye baadhi ya mambo. Ukitaka kujua, wakifika vyuo vikuu, na hasa vya serikali fuatilia matokeo yao utajua ni yupi kipanga. Hii ina apply kwa divisions zote.
 
Kwani nani hajui kama nyinyi mnatafuniwa?

Mimi nipo kidato cha tatu mwalimu aligoma kutufundisha mwaka mzima tunaingia kidato cha nne mwalimu wa kidato cha nne anasema kuna vitu sitafundisha mlijifunza kidato cha tatu.

Nyiye mayai si mngeandamana?
Huu utaratibu wa kujivunia matatizo hua upo Tanzania pekee. Sasa kama mwalimu amegoma kuwafundisha hilo ni kosa la nani?

Hilo linakufanya vipi kua bora zaidi ya yule ambae mwalimu wake amemfundisha vizuri?
 
noumaaa sana yaniiii.. walau maharage yanasound kooni otherwise mhh... na Ile harufu ya kerosene sasa hatareeeeeeeeeeeee



cc Smart911
Hahaha hapo kwenye kerosene sikumoja yakatokea mabishano eti kerosene inatufanya tusidindishe huku na kule watu wakaaza piga nyento duuuh bodingi hakuishi vituko!
 
Hii inanikumbusha mlokole mmoja karudi na pilau kwenye tranca na cake ya besiday mida watu wanaenda prepo watu tuka piga u-turn aliporudi alikuta bonge la nguna!


Hahahahaha. lol nyie wabayyyyaaa jamani keki ya watu kwa hostel jamani dahhhhhhhhhh!! hajalia kweli huyo??? prepo mi nilikua naenda kusinzia tu labda kwenye pepa zile diskasheni otherwise nilikua nasomea dekani... mwl akipita najilaza katikati ya deka straight kama maiti vile haoni mtu akiyumba wala nini na nilikua kadogoo kembambaaa akitoka tu naamka kuchat na boy wangu wa day mwenyewe hahahahaha boarding bana


Cc Smart911
 
Hii inanikumbusha mlokole mmoja karudi na pilau kwenye tranca na cake ya besiday mida watu wanaenda prepo watu tuka piga u-turn aliporudi alikuta bonge la nguna!


hostel ukialikwa kwenye besdei wewe mjaaa upo juu make walioweza kufanya besdei Japo kwa kujificha ni wachache Yani wachache sanaa..


cc Smart911
 
Mwenye akili ana akili tu kama umepata div 1 iwe private au government ukiwa na juhudi chuoni unafanya vizuri..
Nimeona watu waliodisco wanaotokea government na private..kwahio chuoni ni juhudi tu
 
Alianza kutoa laana zake za kilokole watu cake iko kwenye tumbo !Kuna mseng.e mmoja alikua domleader mnoko sana yeye anatufukuza twende prepo then yeye analala siku tukamwekea upupu.Tunarudi dom kutokea prepo tunakuta jamaa kama kibwengo kajipaka jivu uchi mwili mzima huku akitukana sana asee tulicheka sana !
 
Shule za serikali ndio zimejaza mazezeta na matikiti maji...
Zero nyingi zinatoka shule za kata za serikali
Shule za gorv zilipigwa 96 kwa 4!! Bado ma looser waliotokea huko wanafarijiana! Tulikuwa tukiwaita slummers!
 
Last edited:
hostel ukialikwa kwenye besdei wewe mjaaa upo juu make walioweza kufanya besdei Japo kwa kujificha ni wachache Yani wachache sanaa..


cc Smart911
Sure kuna besidei moja tulingiza creti la bia it was bingwa kuna mroho mmoja akapiga 4 kilichokuja tokea aliharisha ndembendembe na kukimbizwa hospitali !
 


Hahahahaha.. hatari sana hio... bwenini kudimbuliana vitu kawaida sanaaaa.. Sisi kulikua na shida ya maji chota maji ya kuoga asubuhi uzubae zubae uone... tulikua Tunaweza chup kwenye maji eti wasiibe thubutuuuuuuuuu.... watu nuksii hawajali wala nini ila boarding dahhhhhhhhhh..



cc Smart911
 
Kwahiyo unavyojua mwanafunzi wa government ana 24 hrs za kusoma?

Kwanini hajasoma private?

Visheti atauza saa ngapi?

Kigoma atacheza saa ngapi?

Mimba atapata saa ngapi?
 
Umenikumbusha mbali, Pugu tulikuwa tunakula kwa madishi watu kadhaa mnagawana, basi siku ya graduation jamaa walienda kuchukua dishi la pilau wakaishia nalo pondi, na siku hiyo ndio nilijua njaa ya kukosa pilau inauma mara tatu ya njaa ya kawaida.
 
Sure kuna besidei moja tulingiza creti la bia it was bingwa kuna mroho mmoja akapiga 4 kilichokuja tokea aliharisha ndembendembe na kukimbizwa hospitali !


maza dom na zile mambo za kupangiana kufanya usafi chooni kila siku tulikua tunapeleka kesi kwa Mwalimu wa zamu.. na ukiwa msumbufu sumbufu alikupangia chooni au kudeki bwenini especially masika usiombe



cc Smart911
 
Ndo mwishoni huku wanakuja kuishia kuwa mazoba yn bila ajira bs maisha yao hayaendi
Wanaosomeshwa kwenye shule za kata huwa wanalazimika au kulazimishwa kulipa kwa kuwalea waliowasomesha! Wakati hawa wa international schools wanaandaliwa kuja kusimamia miradi iliyoandaliwa kwa ajili yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…